🤣🤣dereva wa chaka ni huyu wa mwisho, sehemu kama hiyo rough ni hatar unangusha gari faster
2026-02-19 11:32:17
22
bigdady🇹🇿 :
wamwisho aje nimpe gari anajua Sana
2026-02-20 17:13:47
8
Larry Kingp :
Madereva Wenzangu Wacheni Matusi Jambo La Kwanza. Jambo La Pili Ukijua Kutumia Four Wheel Hauna Haja Yakuitupa Gari Hivyo. Gari Hizi Tayari Zimesha Badilishwa Mfumo Wake Wa Chassis na Uzito wake Pia kwa Hivyo Tutunze Magari haya Kwa kila Jinsi. Jambo La Tatu Mkiwa na Wageni Hamuwezi jua Wana Matatizo ya Migongo au Lah Mnatakiwa Kujuwa Tabia Ya Gari Madimbwi Mtakapo Pita Pia Inasaidia saana. Jambo La Mwisho Toyota Siku zote Inatakiwa Kuonyesha Umahiri wake Ilivyo Tengenezwa Shukrani Saana.
2026-03-10 21:00:03
1
🅜🅐🅐 🅟🅡🅘🅝🅒🅔 🅚🅔🇦🇺 :
mnipee 4 by 4 sasa😂
2026-02-19 20:55:40
3
ndiga mdoe :
Hizi chuma ni hatari sana
2026-03-20 04:38:48
1
marry j :
dereva amelewa au
2026-03-20 18:49:26
1
kamamaaa :
hatr
2026-03-20 22:40:26
1
Ali Dhirani :
davooo😂😂😮💨😭💀
2026-03-19 21:27:29
1
Elizabeth Shrima :
Madereva wote Mungu awalinde
2026-03-11 10:15:47
1
miggo blackpanther :
war bus
2026-03-10 21:16:52
1
first :
umeme huo aya pitishq crown
2026-03-22 16:44:11
1
Zakadj :
🥰🥰🥰
2026-03-10 19:24:35
1
Abuu :
🙏🙏
2026-03-17 19:05:09
1
Bloomiee garl :
💯💯💯💯
2026-02-25 15:06:07
1
To see more videos from user @psg_serengeti, please go to the Tikwm
homepage.