@azoretechtz: Umechoka kufuatiliwa kila unapoingia WhatsApp? 🙄✋ Sio kila mtu anapaswa kujua muda wako wa kuingia na kutoka. Azore Technologies tumekuletea dawa ya kudumu ya kukufanya uwe kivuli (Ghost) ili uperuzi kwa uhuru kabisa. Usikubali lawama zisizo na msingi, fuata hatua hizi kwenye video! 📌 Like and followMfollow @Azoretechtz uwe mjanja wa Tech mjini! . . #learnontiktok #whatsapphacks #ujanjawasimu #tiktoktanzania #azoretechtz

Azore Technologies
Azore Technologies
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 February 2026 16:56:16 GMT
47279
1107
10
66

Music

Download

Comments

godrivar2
Geee💗💗 :
ila akituma sms naiyona???
2026-05-16 19:04:49
0
jonrodkiller7502
jons killer :
Ila agi😂😂😅
2026-07-03 18:58:53
0
carolinemoraa95
mama grory :
yangu nikimaliza kufanya ivyo mbona inaitiza a valid host number?
2026-08-14 09:26:30
0
muna.husein28
MAY ME :
ila status za watu unaziona
2026-08-04 13:44:50
0
zellabaraka
Bigboy_baraka☺️ :
hapo proxy host anakua nani usije uza info zako!
2026-02-20 02:17:57
0
miss.wayne07
Miss wayne🥵💦💘 :
😁
2026-07-03 17:44:16
0
fey.collin
fey collin🥰 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-11 12:46:07
0
To see more videos from user @azoretechtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About