@saa24_digital: Director maarufu wa video za muziki Hanscana ameonesha mfano wa kuigwa baada ya kuanzisha challenge ya Kujenga Nyumba isiyozidi kiasi cha Shilingi Milioni 15. Kwa mujibu wa Director Hanscana, nyumba ya kwanza ni sehemu muhimu sana ya maisha ya kijana ingawa sio lazima iwe na kila kitu kilicjo katika nyumba ya ndoto ya kijana. Hanscana ametoa maelezo yote jinsi alivyopata vifaa na ufundi wa nyumba yake, na kutangaza challenge kwa vijana wengine wa Ki Tanzania kujaribu challenge hiyo kama wataiweza. Unaionaje hii? #saa24

Saa 24
Saa 24
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 February 2026 19:18:44 GMT
62791
1679
30
260

Music

Download

Comments

raulentielias
Raulenti Elias :
ina vyumba vingapi
2026-10-06 17:02:14
0
_munira21
_munira21 :
vyumba vngap
2026-03-24 19:14:04
2
gwido.msommi
Gwido@Official Bry Msomi@89 :
Mwingine angesema Ml30
2026-04-06 14:40:55
5
hassanalcuenca
𝐂𝐔𝐄𝐍𝐂𝐀 :
nyumba ya vyumba vingapi?
2026-02-28 12:25:42
3
josephmalidadi598
Joseph Malidadi :
umetisha babu
2026-02-19 19:58:20
0
precious.mangare
Precious Mangare :
decorative plaster hiyo ya ukutani
2026-04-12 17:18:57
0
siofficial2212
S.I :
coni mix izo
2026-05-16 21:48:20
1
its.vee623
IT'S VEE :
inavyumba vingapi?
2026-06-06 10:22:32
1
mjombaactor3
@MLEZI WA KISWAHILI🇹🇿 :
ma director wa music tanzania
2026-04-18 07:15:12
4
dulzoflex
dulzoflex :
Elewa neno challenge 😂
2026-05-22 15:53:27
1
erickmatata886
badkiller :
uyuu syo director ni mkamalia
2026-02-21 10:15:38
5
lusasi46
lusasi :
ingekua nyumba ya selikali ya Malawi ungesikia CAG anasema imegharimu 150M
2026-09-24 18:07:58
2
jamesmoshi772
jimmy :
vyummba vngap aseeh
2026-06-22 06:20:46
0
siofficial2212
S.I :
kwaio aponkama mil 22 pamoja na fundi jumlisha kiwanja 10M. jumla kuu apo kwa kila kitu wambie vijana watafute 25M ili kumiliku nyumba💯
2026-05-16 21:51:38
2
de.moon.furniture
de moon furniture 🇹🇷 :
nipatie namba ya fundi ujenzi
2026-05-22 08:52:42
0
mosise146
modise :
tofari mchanga na cement
2026-04-26 12:03:40
0
captainmhina349
@captainmhina349 :
.Ninyukba ya vumba vngapi hyo bro
2026-04-07 13:37:31
0
monst_tiktok.com
nameless :
offcose kabisa make sehemu yenyewe ni dzm
2026-07-20 12:03:38
0
benjamino205
benjamin :
kumbe hata mi naweza kujenga. kumbe sio kazi. sana
2026-05-02 22:33:23
0
itzshao1
ITZ SHAO :
Kanijengee kama hii tajeer mm
2026-03-21 06:11:31
0
lizzybae644
libby :
💯
2026-05-19 10:15:12
0
hubmaster3
Hubmaster :
😁
2026-04-30 14:52:00
0
kingkonk09
king konk. :
😅
2026-04-16 05:29:30
0
goodluckcolmanmsa
goodluckcolmanmsa :
@Franco decorations
2026-05-08 13:03:55
0
whereixfreed
freed.Hilary :
@
2026-02-26 18:44:44
0
To see more videos from user @saa24_digital, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About