@sokonidar: Ndizi mzuzu zimekua balaa Jirani, bei cha Tsh 50,000/= bei ya juu kabisa 130,000/= bonge la mkungu kama unavyoona hapo Jirani, ndizi bukoba nazo hazina afadhali moto wa kuotea mbali kabisa Mlipuko huu wa bei za ndizi saizi ni karibu ya sita, ndizi hazishikiki, mteja lazma agune akitajiwa bei😆😄 karibu sana sokoni Jirani #kilimo #kilimobiashara #agribusiness #daressalaam🇹🇿 #masoko

SAT
SAT
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 February 2026 15:43:53 GMT
14012
116
4
33

Music

Download

Comments

user1419688371019
xhamz :
waz
2026-04-15 16:21:00
1
don_pablo152
BRANEIT :
Hapa ni wapi!?
2026-02-20 19:29:35
1
kontawa570
KONTAWA :
🥰
2026-05-27 20:33:35
0
To see more videos from user @sokonidar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About