@mozannah: Assalam alaykum guyss😍😍tunaendelea na misosi yetu ya ramadhan na leo tunapika jicho la mke mwenza 👀👁️ Mahitaji yetu ni . Nyama nimefanya 1/2 kg Vitunguu 3 Hoho 1 Karot 1 na kotmir Garlic & ginger paste 1 tbspn Mayai 9 (chemsha) Pilipili mwendokasi kidogo Mi nyama nimeigawa mara 2, Ila unaweza ukafanya yote kwa mayai 15-20 mimi nimeachia nyama tatumia next time🩷 Ukishamaliza kumix unasaga katika chopper inakuwa umelainika vizuri sana. Mi leo sina chopper 🩷 Na nimeweka mayonaise kijiko 1 cha chakula nliona imekuwa kavu kidogo so nikaweka kidogo na sio lazima kama utasaga mchanganyiko wako😍 Hatua nyingine fatisha katika video hapo. Shukraan😍 Ramadhan kareem