usione analia 😭😭😭 tunaelwa sis
wanachuo gonga like
2026-02-20 20:46:52
1545
pacal 005 :
tunao mkubali MC mboneke like ap😁😁😁
2026-02-20 18:17:10
1126
TheReal~SUE🍂🌹 :
Kabla hujafikiria kukata tamaa kwenye haya maisha..
Hebu angalia nywele zinazoota sehemu ya haja kubwa.
Licha ya mazingira magumu, bado zinaendelea kukua.💪💪
2026-02-20 19:48:39
290
MAP :
vitaingiaje baba chana nywele
2026-02-20 19:14:39
353
DoublePost Jnr :
kwani exam ya TZ pia ni ngumu na ni kiswahili tu😂😂
2026-02-20 19:27:25
145
KING COM :
tunaosema elimu ngumu karibu na mtihani tujuane
2026-02-20 18:17:48
299
ARHAM ⚽️🎮 CR7 💪🇵🇹 :
tunaomkubali mc mboneke like 😁😆 apa
2026-02-21 06:25:21
157
jamesmercy💞💞 :
twende nalo 20/20
2026-02-20 18:33:58
16
pendolugano :
Mungu akubaliki unaeangalia jumatatu ya Leo
2026-02-23 05:45:59
77
vinny :
hii inatokea pale mtihan umekaribia ukisom huelew🤣🤣
2026-02-21 09:48:18
53
lee~♥~ :
kuna mtu anadhan anaigiza ila wanachuo na advance wanaelewa situation 😂😂😂😅😅
2026-02-21 08:04:54
62
gylence@tz :
😂😂Mbeneke unashida gani ww😂😂
2026-02-20 19:42:16
20
pochinene :
Kila swali halipandi😂😂😂😂
2026-02-21 05:31:16
7
ᥫ᭡ 𝐕𝐈𝐍𝐍𝐈𝐄 💦𓃵 :
kama unamkubali mzee wa awards gonga like apa😁😁😁
2026-02-20 18:16:45
48
@Saint😎 :
One sasa mpk nimeulizwa mbn inajirudia saut ya vitu haviingii kichwani 😅😅
2026-02-20 21:18:24
15
chikago boi🏐🏐 :
Nimejikuta nacheka usiku huu ila mboneke😂😂et vitu haviingii kichwani🤣🤣
2026-02-21 20:40:57
22
user8325782746600 :
haki yamungu uyujamaa chizi 😂😂
2026-02-20 19:30:35
20
KUJOIN NI 100 PEKEE :
wanakasongo hamjambo🥰
2026-02-20 18:48:42
22
Mishy💋🦋 :
😂😂😂kheeee why always you 🙌🏻🙌🏻 maskini ya Mungu
2026-02-20 22:25:49
7
Olly 💫❤️🔥 :
andika essay zingatia point😂😂😂😂
2026-02-20 20:37:05
9
Valentine Dain :
si uandike mbuti🤣🤣
2026-02-21 13:31:45
5
@Saint😎 :
we cheka tu na CA inasoma 12😂😂😂
2026-02-20 21:09:25
83
Luan@535 :
🤣🤣🤣 jmn wanachuo like km zote jmn
2026-02-21 16:23:10
34
kamamaaa :
ndo hali tunayopitia chuo msione hvoo
2026-02-20 22:25:41
13
To see more videos from user @mcmboneke_comedian, please go to the Tikwm
homepage.