@saleemhemedy: katika simulizi za historia za maulamaa wetu katika kipindi cha Ramadhani zanzibar tunae sheikh mussa makungu

Saleem Hemedy
Saleem Hemedy
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 February 2026 16:57:47 GMT
34471
817
28
244

Music

Download

Comments

aminakhamis56
minally :
iyo kasda nikiisikia huanaskia harufu ya tambi na mikate ya maji na maharage☺️☺️☺️
2026-02-23 02:30:15
1
mkongwe02
Fadhil :
nilishataka kuiweka status ila hii picha inanipa mashaka nahis sio yeye, pls post na picha yake tupate kushare
2026-02-23 12:06:15
1
alkasuskahwa
Alkasus Kahwa :
Daaah , Enz zake Niko Chuo
2026-02-22 20:48:32
1
user9957611975428
chala :
Allah atujaalie SS na vzazi vyetu ucha mungu
2026-02-22 18:38:51
3
muungwana24
muungwana24 :
Maashallah hivi ndivyo vitu tunavipenda
2026-02-23 10:50:13
1
user4936161558057
ibn Khamis :
mwenyezi mungu awarahamu
2026-04-01 23:29:27
0
user127303753
Mohamed_Al'abry :
MaashaAllah
2026-02-23 03:32:04
1
musajetli
Musa jet li. :
hiyo picha sio yeye lakini
2026-02-23 03:10:15
0
mwarabumweusi67
mmanga mweusi :
mashaallah kitambo sna hii jmn unatam siku zirud nyuma dah
2026-02-24 20:17:51
0
sakham029
Sakham :
Alhamdulillah! Mashaallah! Naomba kiungo nitakapoweza kuona historia ya MASHEIKH WETU wengine.
2026-03-12 07:23:55
0
omarabrahman861
Omar Abrahman :
A.Alykum naomba jina la hii qaswida tafadhli
2026-03-15 12:28:15
0
user7574635847382
0/30 :
Allah awarehem wazee wetu awape malayka wema nasisi atupe khatima njema ishaallah
2026-02-23 00:09:37
1
allybinhaji6
Ally Binhaji :
jamani mimi nataka jina lahii qswida
2026-02-23 14:29:29
0
user1228005530366
Alfaqeer :
dah
2026-02-23 13:15:58
0
hussein.assuuliy
hussein Assuuliy :
الله يرحمه
2026-02-22 19:50:02
0
user3793105194654
user3793105194654 :
jina la qaswid tafadhali
2026-02-25 18:57:59
0
ashraffmsafir
Babylon :
kama kweli ni shekh makungu mm aliniozesha kwenye ofisi yake ya kadh na mpaka sasa nipo kwenye ndoa na watoto 8 ,M/mungu amlaze pahali pema peponi ins
2026-04-17 03:33:53
1
abdulfattawi
Matteo_cunha :
❤️
2026-02-25 08:21:23
1
rasheedsheha
Abuu Mohammed Rasheed Sheha :
💪
2026-03-22 22:09:11
0
africano.perfume
PEFYUM KARIAKOO :
,
2026-03-12 23:09:00
0
To see more videos from user @saleemhemedy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About