@cairo_ke002: *Allaahumma inniy as-aluka khayrahaa, wakhayra maa abaltahaa 'alayhi. Wa a'uwdhu Bika min sharrihaa washarri maa jabaltahaa 'alayhi.* Ee Allaah hakika mimi nakuomba kheri ya (mke) huyu na kheri ya maumbile Uliyomuumba nayo. Na najikinga Kwako na shari yake, na shari ya maumbile Uliyomuumba nayo #kenyatanzania🇰🇪🇹🇿 #burunditiktok🇧🇮 #muslim