@hawa_juicebar: Asalam Aleykum na kwa resma njema Nsugu zangu .Huu ni msimu mzur sana wakupunguza hizo sumu zetu mwili kwa kunywa juice yenye Afya na kutoa taka mwili.Hiyo ni juice ya mteja wangu Full ukijan ali order na mm nikamtendea jambo.Wasiliana na mm kwa order ya juice ☎️0715951797 #detox #juice #ramadhan #video #content