@rascol_medy: 🤫🤫🤫🤫 #rascolmedy #rascoltv #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #foryoupage

Rascol Medy
Rascol Medy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 February 2026 08:33:16 GMT
356615
23591
558
167

Music

Download

Comments

elsmapicha
Lucas Mapicha :
meneja anachamba uchozi😢😭
2026-02-23 09:47:21
293
teefany.cruzy
Mrs Coolheart🍒 :
Watu wenye mioyo mizuri tunateswaga sana na machozi hatuwezagi kuyazuia
2026-03-20 07:00:13
58
__ashuraa
Ashu :
baba baba usilie jamani najikuta nalia jamani pole Allah awe nanyi ishaallah 🙏
2026-02-23 09:10:00
64
shabnamkhani0
shabnam Khan 🇹🇿🇶🇦 :
Hongera sana kijana 👏 kweli umeonyesha moyo wa kipekee. Kumsaidia mwenzako si jambo dogo, ni ishara ya utu, upendo na uongozi wa kweli. Mungu azidi kukubariki kwa moyo wako mzuri na akufungulie milango zaidi. Endelea kuwa mfano bora kwa wengine, dunia inahitaji watu kama wewe. ❤️❤️❤️🌹💪💪💜💜💜💜💜
2026-02-23 12:51:26
65
hancefav
Hance-fav🫠😍 :
Rasco ako na roho nzuri sana that's what I can say🥺🥺
2026-02-23 10:08:30
53
dullykdd
Dullyk!dd🥷🔥 :
20/20 mkuje
2026-02-23 15:12:28
5
mgavilwa.h25
Hamza mg💫 :
20/20 familia
2026-02-23 09:17:37
6
officially_nuhu
𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋_𝐍𝐔𝐇𝐔 :
5\5 nalipa
2026-02-23 08:48:00
14
user78661493987043
tale :
nimekuwa wakwanza
2026-02-23 08:36:55
32
sammybreezy72
Samy_72 :
kuangalia video umeona haitosh umeamua kusoma comment😅😅, hongera mwanetu
2026-03-27 18:13:41
20
vocalmanmusic
Vocal manTZ :
Mungu akuzidishie 🙏
2026-02-23 10:19:57
9
flora73368
FROLAH 🌹🍭🍫 :
50nalipa
2026-02-23 09:14:10
9
jesca5547
jesca :
jamani pole meneja usiliye unanilizamimi jamani 😭😭😭😭😭😭🙏🤲 Mungu akulinde
2026-02-23 15:25:49
21
junayna40
Junayna🌻🦋🍀 :
Usilie ndio mitihani ya dunia hiyo 🥰
2026-05-21 15:00:53
5
user1277378693869
DAILY ON SPORTS :
pole familia usilie mungu Yupo nawe♥️pia nawakubali
2026-02-23 16:08:36
6
sophiamkalula3
❤Mom Aliyah🌸 :
baba baba nyamaza tupo na ww ila mwanaume halii bhn🥰🥰🥰🥰🥰
2026-02-23 09:05:00
21
alicious228
Marrymsuya🥰 :
Pole rasko mungu akuongoze sana broo tunakupenda
2026-02-23 09:53:20
6
mamuu2193
🥭🌸🅜🅐🅜🅤🅤🌹🍉 :
jikaze.tu.ndugu.maana.we.ndo unaujua.ukweli na mungu.atakupigania pole sana🥰🥰🥰
2026-02-23 13:29:40
12
dj.moise.by6
dj moïse by🇨🇩🇹🇿🇺🇬 :
merci beaucoup rasko pour soutenir
2026-02-23 08:36:30
8
bintirichard0
bint Richard ❤️❤️ :
baba bab tuko nawewe baba mungu akulinde baba
2026-02-23 09:31:12
15
mrs.angel656
Mrs Angel🌸🌹 :
Wamekufanyaje jmn mbn unalia tena🥺🥺🥺
2026-02-23 08:40:38
12
aminakhamisi940
MRS SAHIL❤️‍🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
King'amuzi Kawa mzur mashaallah ata mm namtaka nimpeleke Zanzibar
2026-02-23 15:03:08
5
thebrilliantone22
The brilliant one♒💯 :
kumbe rascol tumetoka mbali sana jmn hujaanza na mama Salome tu.... Mungu akuzidishie unapojitoa kaka
2026-08-10 20:22:17
5
naah_308
Nadia Ally :
Mie mkiniuliza unampendea nn rascol ntakujibu rascol anahofu na mungu na huo ndio moyo nilionao mm hua hatuomekani mpaka tuchafuliwe Allah utufanye tutambulike kwa wema tunaofanya hataka tusipolipwa basi tusilipwe mabaya 🥹🥹🥹🙏 Rascol ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️kaka usichoke kheri nyingi kwako
2026-08-10 17:14:05
2
tinahchoice1
SwettT🍉🍇 :
daah nimeona video leo lkn nimeumia sana😫💔
2026-07-25 17:54:23
3
To see more videos from user @rascol_medy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About