@dr.aflite: Dalili za Hatari za Figo Kufeli (Kidney Failure) Figo zikianza kufeli (hasa kwenye hatua za mwisho za chronic kidney disease), mwili huanza kuonyesha dalili zifuatazo: 1️⃣ Kuvimba Mwili (Edema) Kuvimba miguu, vifundo vya miguu na mikono Uso kujaa au kuvimba asubuhi Viatu au pete kubana ghafla 👉 Hutokea kwa sababu mwili unashindwa kutoa maji na chumvi vizuri. 2️⃣ Mabadiliko ya Mkojo Mkojo kuwa na povu nyingi Mkojo kuwa mweusi au wa rangi ya damu Kukojoa mara chache sana au sana kupita kawaida Maumivu wakati wa kukojoa 👉 Hii ni ishara figo hazichuji damu vizuri. 3️⃣ Uchovu Mkubwa na Udhaifu Kujisikia kuchoka muda wote Kukosa nguvu hata bila kufanya kazi nzito Ngozi kuwa nyeupe (upungufu wa damu) 👉 Figo zikiharibika husababisha upungufu wa damu (anemia).#viralvideo #usa_tiktok🇺🇸 #kidneyfailure #viralvideo #fouryou