@bobur_shohx: Auf meinem Profil gibt es noch viel Krasseres #1b #rek #viral #fyp #f

Danceflow
Danceflow
Open In TikTok:
Region: FR
Tuesday 24 February 2026 03:58:46 GMT
315
22
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @bobur_shohx, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mizani Ni  wale waliozaliwa tarehe 23/9 mpaka 22/10) 1).UTANGULIZI WA MIZANI/LIBRA ♎ ⚖️  Nyota ya Mizani ni nyota ya usawa, mvuto na akili ya mahusiano. Huyu ni mtu aliyezaliwa na kipaji cha kuona pande zote mbili za jambo kabla ya kutoa uamuzi. Ndani yake kuna kiu kikubwa cha haki, amani na maelewano. Mara nyingi huonekana mpole, mchangamfu na anayejua kuishi na watu, lakini nyuma ya tabasamu hilo kuna akili inayopima kila hatua. Mizani haipendi migogoro, kelele wala mazingira yenye msuguano wa mara kwa mara;  2).TABIA ZA NJE ZA MIZANI/LIBRA ⚖️ ♎  Tabia ya msingi ya Mizani ni kupenda watu. Ana mvuto wa asili unaowafanya wengine wajisikie huru na salama wakiwa karibu naye. Anajua kuongea, kusikiliza na kuwafanya watu wajihisi wana thamani. Hii ndiyo sababu watu wa nyota hii mara nyingi huwa na marafiki wengi au hupendwa haraka katika mazingira mapya. 3). CHANGAMOTO ZA NJE♎ ⚖️ ni hupata ugumu wa kufanya maamuzi. Anaweza kuona faida na hasara kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba anaahirisha uamuzi au kubadilisha msimamo mara kwa mara.Hii hupelekea kuishi kwa kutojiamini na kuona kama anawakosea watu wanaomzunguka, lakini hiyo haimzuii kuendelea na tabia yake ya kupenda usawa na ukweli  4).TABIA ZA NDANI ZA KIHISIA♎ ⚖️  Mizani ni nyota inayohitaji sana upendo na uthibitisho. Hahitaji tu kupendwa, bali anahitaji kuhisi anachukuliwa kwa uzito. Anachukia upweke, na mara nyingi huingia kwenye mahusiano hata kama hayajakaa sawa kwa hofu ya kubaki peke yake. Mapenzi kwake ni sehemu ya utambulisho wake; bila mahusiano yenye usawa, huanza kujiona kama hayuko kamili. Hapa ndipo hatari yake ilipo,anaweza kuvumilia mambo mengi ili kulinda amani, hata kama yanamuumiza ndani kwa ndani. 5).KATIKA MAHUSIANO♎ ⚖️.  Mizani ni mpenzi anayejali, anayejitolea na anayependa usawa. Atajitahidi kuona mwenzi wake anaridhika, mara nyingi akijisahau yeye mwenyewe. Tatizo linakuja pale anapokosa kusema anachokihitaji au anachokikataa. Hasira yake hujificha, hukua kimya kimya na baadaye hutoka kwa njia isiyotarajiwa. Mizani anahitaji kujifunza kusema “hapana” bila kujihisi mwenye hatia. 6).KIMAISHA NA KIKAZI♎ ⚖️.  Mizani ni nyota ya watu wanaofanya vizuri kwenye kazi zinazohusisha watu, maamuzi, sheria, sanaa, urembo, ushauri au diplomasia. Ana macho ya kuona uzuri na ubaya kwa wakati mmoja, hivyo ana uwezo mkubwa wa kusuluhisha migogoro. Hata hivyo, uzembe wake mkubwa ni kuchelewesha maamuzi au kutegemea sana maoni ya wengine. Akijiamini na kusimama na msimamo wake, hupata mafanikio makubwa sana. 7)KIFEDHA NA UTAFUTAJI WAKE ♎ ⚖️.  Mizani ana ladha nzuri ya maisha. Anapenda vitu vizuri, mazingira mazuri na maisha yenye starehe. Hii inaweza kumfanya awe na matumizi yasiyo na mpango kama hajajidhibiti. Ana uwezo wa kupata pesa kupitia mahusiano, ushirikiano au kazi za watu wengi, lakini changamoto yake ni kudumisha nidhamu ya kifedha bila kushawishiwa na raha za muda mfupi. 8).KIROHO NA na KIAKILI♎ ⚖️. Mizani hubeba mapambano ya ndani ya kutaka kila mtu awe sawa na kuridhika. Hujilaumu anapoona mtu hajafurahishwa, hata kama si kosa lake. Hii humchosha sana kiakili. Akijifunza kwamba si jukumu lake kubeba mizigo ya kila mtu, roho yake hupata amani kubwa na nguvu zake huanza kung’aa. 9).UDHAIFU WA MIZANI♎ ⚖️. upo kwenye kusita kufanya maamuzi, kutegemea sana mahusiano na kuogopa migogoro. Lakini nguvu yake kubwa ipo kwenye busara, mvuto, haki na uwezo wa kuleta amani. Mizani akisimama kwenye ukweli wake bila kuogopa kupoteza watu, huwa kiongozi mzuri, mshauri bora na mtu mwenye heshima  katika jamii. 10).UKWELI MCHUNGU♎ ⚖️. nyota ya Mizani ni nyota ya kuleta mizani halisi katika maisha kati ya akili na moyo,Ni yeye na wengine,wote wapate sawa,hutoa na kupokea. Akijielewa vizuri, Mizani huwa mtu anayevutia fursa, watu sahihi na maisha yenye usawa wa kweli. Hiyo ndio nasaba yake katika jamii na watu wanaomzunguka. NAPATIKANA TWANGOMA SHERI, KIGAMBONI DAR ES SALAAM  📞0765707046/0693360232 t#creatorsearchinsights #traditionalhealingplantsexplained #alirouh

About