@kingayauke: SOMO: P2 NI NINI NA MADHARA YAKE – UJUMBE KWA MWANAMKE 📌 P2 ni nini? P2 (maarufu kama Postinor 2) ni kidonge cha dharura cha kuzuia mimba kinachotumiwa baada ya kufanya tendo la ndoa bila kinga au kama kondomu imepasuka. 👉 Hakizuizi mimba ya kudumu, na hakipaswi kutumiwa mara kwa mara. Ukweli mchungu kuhusu P2 😔 Wanawake wengi leo wanatumia P2 kama kinga ya kawaida, bila kujua madhara yake ya baadaye. P2 sio rafiki wa mwili wa mwanamke inapochukuliwa ovyo. MADHARA YA P2 KWA MWANAMKE ❌ Kuvuruga homoni – mwili unachanganyikiwa ❌ Hedhi kuvurugika (kuchelewa, kutoka sana au kukata) ❌ Maumivu makali ya tumbo na kichwa ❌ Matumizi ya p2 hufanya uke kuwa mkavu ❌ Kupata ute usio wa kawaida ukeni ❌ Kushuka au kupotea kwa hamu ya tendo la ndoa ❌ Hatari ya kushindwa kupata mimba baadaye (hasa kwa matumizi ya mara kwa mara) ❌ Msongo wa mawazo na mabadiliko ya hisia ⚠️ P2 ikitumiwa mara kwa mara inaweza kuharibu kabisa mfumo wa uzazi wa mwanamke. ZINGATIA HILI: “Mwanamke si mashine ya kumeza homoni kila wiki.” Mwili wako una kumbukumbu. Kila unachokunywa leo, kesho kinakuuliza. Usitibu hofu ya mimba kwa kuharibu ndoto ya kuwa mama baadaye. #womenhealth #kingayauke #uchafuukeni #fy