@chichybakes_mwanza: Baker mwenzangu, acha kununua rangi nyingi na kupoteza hela bila sababu😩 Ukweli ni huu huhitaji box zima la colours ili upate rangi nzuri kwenye buttercream yako🎨 Unahitaji rangi 5 tu: Red, Yellow, Blue, Pink na Black. Kutoka hapo unaweza kupata: • Orange (Red + Yellow) • Green (Blue + Yellow) Na hata shades za maroon, peach, gold na nyingine nyingi kulingana na uwiano wa mchanganyiko wako. ✨Siri kubwa iko kwenye kujua kiasi cha kila rangi unaweka, sio kuwa na rangi nyingi Ukijua mixing vizuri una-save pesa, unaongeza creatıvity na kazi zako zinaonekana professional zaidi 😍😍 Save hii video ikusaidie kila unapokuwa unamix rangi zako Na kama kuna rangi inakusumbua tuambie kwenye comment

chichybakes_mwanza
chichybakes_mwanza
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 February 2026 06:29:37 GMT
60205
1967
186
598

Music

Download

Comments

groby02
groby02 :
Buttercream ili ikauke after decoration nafanyeje jmn msaada
2026-02-25 13:29:08
3
tastycakesarusha
Mom KK :
Tuliosoma art & craft tunaelewa primary colors
2026-05-03 09:33:47
2
ummujays.6
ummu ja's 6 :
red na blue umepata hiyo
2026-04-27 20:07:01
1
reginamallya46
Regina Mallya 🧚🌹 :
Kupata pink kipenzi nisaidie
2026-04-27 10:46:05
1
winona7245
Winona 🥰 :
How to get red buttercream plz 🙏
2026-02-25 10:51:07
1
iamtriceybae
Iamtriceybae :
Nataka kupata lavender jmn nina kijani,blue,green,black,pink and red
2026-03-01 13:51:24
1
vennycakesandbites
venny_cakes_and_bites :
Mimi hutumia rangi 3 tyu kupata zote izo Hadi nyeusi na pink pia zinatoka. primary colors ndo baba lao
2026-02-25 13:03:41
9
mr.cake654
Mr cake 👨‍🍳 :
Red+blue bahali=dack blue😀
2026-03-10 16:16:37
1
rizikichelsea0
Rizikichelsea🇹🇿🇹🇿 :
Pink na blue
2026-02-26 11:26:43
1
user80345663842521
aisha hamdi 😘💕 :
blue mix pink unapata puple👌👌
2026-03-06 10:28:40
1
joycesammy448
Joyce Sammy :
thnx dear
2026-05-05 22:50:18
1
editha.athanael
EddYG :
Red and green
2026-03-27 18:57:26
1
apple.vumu
Apple vumu :
asante
2026-03-20 08:47:38
1
carryme_wa_mwangi
Pam's bakery :
Red and alot of blue 🔵
2026-03-06 15:50:50
1
hannanbakery
Hannan bakery :
gold clr wapata vp
2026-02-27 10:59:25
2
happykabulika
AFYA MUHIMU :
kwa hiyo mim bado tu black na pink😁
2026-02-27 12:20:19
1
peacecharles862
Peace Charles :
ni rang special kwa ajir ya keki?samahan mm n mgen naomba kujifunza,au nikienda dukan nisemeje ili nipate?
2026-05-25 19:05:56
1
debbycake21
Debby sweet Bakery 🍰 🎂 :
Asante 🥰🥰🥰
2026-03-22 09:46:05
1
user41948655750015
zuuh n :
iyo pink mbona n chungu
2026-03-26 14:28:48
1
fatma_ghalib2
𝓕𝓪ط𝓶𝓪🪐 :
How to get colour purple pls?
2026-03-11 17:10:24
1
inga_bebe_111
FEMALEKINGIZELLY🖤🐉🌍💦 :
Be blessed
2026-02-26 05:32:53
1
judylan.cakes
Judylan Cakes :
pink and blue = purple red and black = maroon
2026-02-28 13:43:17
1
pamejog
P@mejog :
purple na yellow
2026-02-25 15:49:21
1
nabnah3
Nabnah :
ukitka kutengexa rangi x mwanajeshi i mean kala y askar
2026-03-07 18:41:09
2
gladys_duciel
Kingdom_Oven :
Kupata dark blue colour, namix rangi zipi?
2026-02-27 07:39:22
2
To see more videos from user @chichybakes_mwanza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About