@krystall_2801: automatic spray bottle #essentials #spraybottle

krystal
krystal
Open In TikTok:
Region: PH
Wednesday 25 February 2026 07:33:33 GMT
522
4
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @krystall_2801, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

https://youtu.be/brYxkm2br_E?si=xXONplSyiScKaok5 bonyza hapo juu 👆👆👆👆 KWA NINI NIMECHAGUA KUTUMIA LUGHA YAO? Nimetumia njia na lugha ya muziki ambayo vijana wengi wanaipenda, kwa sababu nimepewa wito wa kuwafikia vijana. Wengi wameona kama nawatenga, lakini kusudi langu si kujitenga nao—ni kuwafikia kupitia lugha wanayoielewa. Nilipopokea kwanza ujumbe wa kuwarudisha watu na kuhubiri bila kutumia tafsiri, haukuwa ujumbe mwepesi kuupokea. Dunia haikunielewa nilipoanza kuutumikia. Nimepitia kesi, nimekaa gerezani na nimepata mateso. Lakini kwa sababu niliamini kuwa ilikuwa ni sauti na agizo la Bwana, niliendelea. Sasa nimeupokea tena ujumbe wa kuwaendea vijana kwa lugha yao. Najua kutakuwa na upinzani na watu wataongea, lakini ninaposikia kile ninachoamini kuwa Bwana amenielekeza, sitazami kwanza vita nitakavyokutana navyo. Ninatekeleza nilichoagizwa mpaka majira yake yatakapotimia. Paulo alisema: “Kwa Wayahudi nalikuwa kama Myahudi, ili niwapate Wayahudi…” — 1 Wakorintho 9:20 Hii haimaanishi Paulo aliacha imani yake au akawa mwovu kama wao. Alibadilisha namna ya kuwafikia, lakini hakubadilisha ujumbe alioubeba. Ndivyo ninavyofanya. Nimebadilisha lugha ili niwafikie vijana, lakini sijabadilisha ujumbe. Nimeingia kwenye lugha yao ili niwapate, si ili nipotee pamoja nao. Kama mtumishi anayekwenda mahali walipo makahaba, walevi au wavuta bangi ili awafikie na kuwaonyesha njia ya wokovu—haendi huko kuwa kahaba, mlevi au mvuta bangi. Anaenda kuwafikia. Huo ndio moyo wangu kwa vijana. Siendi duniani ili dunia inibadilishe; naenda kwa vijana ili ujumbe uwafikie. 🙏 sasa video ipo youtube  twende tukaingie sambaza link hii bonyeza https://youtu.be/brYxkm2br_E?si=xXONplSyiScKaok5#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #INGIAUONE #usa_tiktok

About