@mrs_dangerous: #kukuwakuchoza viungo garam masala, gilgilani unga(coriander powder) Manjano (Tumeric) Rangi (food color) Mtindi(mala) Saum Tangawizi Bizari nyembamba (cumin) Limau Dania Tomato ya mkebe Oven 180degree lisaa limoja
Mrs.Dangerous
Region: KE
Wednesday 25 February 2026 08:02:46 GMT
Music
Download
Comments
user555599937810 :
kukuwakienyeji pia humchemshi maana ningumu?
2026-02-25 09:05:52
5
Nun🤍 :
Naeza kuja nikaosha vyombo hua sisumbui nikishiba😁😁😂
2026-02-25 09:47:38
14
Amina khelef :
mdada nauliza .kwahivo ukiwa na makaa humueki kwa oven ?ama Ni vipi
2026-03-04 09:48:37
0
lahaula74 :
Sawaa tutakuja na miguu hatujii na kichwa tukarbishe basi🤣
2026-02-25 17:50:15
1
Muhammad Ali omar :
mm nmejua kupika kupitia ww mpka mke wangu anakazi sana akiunguza tu kwishaa😁
2026-04-14 09:27:38
1
Salma🥰 :
wasema kimepitia maisha magumu?😂😂😂😂
2026-02-25 09:49:11
1
user1108393677109 kaman :
Nakuja kusafisha oven dear ok?🥰😂😂😁
2026-02-25 18:11:56
0
Faah khamiss :
2026-02-25 08:39:21
2
Reshmah :
my dear ☺️wameelewa buana kuhusu wamuitaje watajua wao 🤣🤣
2026-02-26 10:15:28
2
Swidiqa :
Allahu mabarik la haa🥰🥰
2026-04-12 07:41:45
0
Subira Asadi :
mbona umefunga
2026-04-07 18:12:54
0
✨️JAMILLAH🥀 :
Ngoja nisave hii
2026-02-25 21:15:42
0
Novos Horizontes :
sauti nzuri, mapishi mazuri. mtoto mzuri MashaAllah. 🔥🔥🔥
2026-02-25 14:08:05
0
Nuweyla :
kuku wa kulisha.
2026-03-03 10:22:51
0
baehunie5 :
we noma
2026-04-18 14:04:48
0
👑KING OF REPOST👑 :
MASHALLAH 🤤
2026-03-02 12:48:28
0
Jr🦋 :
Tuletee na kuku sekela kpz
2026-05-06 04:16:25
0
vaibyarugaba :
Wallah i like your lafudhi 🥰
2026-03-28 12:09:58
0
Samia Abdi :
❤️❤️
2026-02-25 08:21:59
1
🦚Riri🦚 :
Woyooo 🥰😂
2026-02-25 08:11:52
2
🦋 Snazzy Meminie🦋 :
naweza kuja kushikia camera 🤗
2026-02-25 11:06:26
0
shammylove :
chick kuku kapendeza rahaaa🥰🥰🥰🥰
2026-02-28 14:19:56
0
To see more videos from user @mrs_dangerous, please go to the Tikwm
homepage.