@fitstars_1: Jaribu mchanganyiko wa cabbage na mayai mlo wenye protini ya kutosha na kalori chache unaokusaidia kushiba kwa muda mrefu na kupunguza hamu ya kula mara kwa mara. ✔️ Hukufanya ushike mpango wa lishe kwa urahisi ✔️ Rahisi kuandaa nyumbani Usipoteze muda ukijaribu peke yako 📲 Tuma ujumbe WhatsApp sasa upate FIT PROGRAM yako kamili na uanze safari ya mabadiliko leo +255743892545
PUNGUZA UZITO NA KITAMBI
Region: TZ
Wednesday 25 February 2026 15:27:53 GMT
Music
Download
Comments
nameless :
🤣🤣🤣🤣hii naongeza kilo tano kwa wiki
2026-03-04 13:41:38
15
sally :
hayo mafuta sasa unapunguza uzito unaongeza ugonjwa wa moyo
2026-02-25 17:57:36
8
Sarah Nichorous :
mafuta mengi mkuu
2026-02-26 07:13:03
13
Gaidi Kapsoit :
uko sure😆
2026-04-03 08:12:27
1
MY J0J0🦋🫧💦🤍🔒 :
Mafuta 🙌🙌🙌
2026-02-26 13:06:02
1
The Blessed one :
too much oil...boiled eggs are much healthier
2026-03-27 18:21:36
2
Franciscah wanza Wavinya :
kupunguza ama kuongeza?
2026-03-29 10:11:21
1
Tata wari :
Iyo mafuta yote
2026-03-11 16:36:40
1
nobio :
mafuta Lita 10
2026-03-08 10:59:18
2
💞Ngina 🦋✨ :
don't try this at home😂
2026-03-08 12:36:28
1
JackeeAllyson :
I boil my eggs..
2026-03-08 07:37:23
1
Safi :
Mafuta vip hayana shida?
2026-03-07 12:40:36
1
Cate mash :
hii Ni food ama nimafuta
2026-03-09 12:45:36
1
puritycharles113 :
lot of oil
2026-03-09 12:16:32
1
mjukuu🤍❤️ :
Mafuta yote hayo
2026-03-05 13:15:42
1
Nash :
na ugali iko??😂😂😂
2026-03-08 12:10:56
2
cheery :
Io maguta yote
2026-03-12 07:04:02
1
kipepeo :
oil
2026-02-27 15:28:35
1
basekanaglory :
iyo mifuta😂😂
2026-02-28 10:30:43
1
selim the great :
na hay mafut
2026-02-26 16:30:48
2
Tayitaso :
Sasa hii mboga tunakula na ugali au chapati?
2026-03-13 17:47:03
1
Isha@kpn :
sasa mbn umefungia tuachie bhn tuichukue
2026-03-01 19:40:08
2
manka :
mafuta mengi sana
2026-02-28 13:03:18
0
chichi Thomas :
😂😂😂😂 Kaa jing na mifuta yako
2026-02-26 19:47:44
1
Vane Kwambox :
Mimi nataka kuongeza
2026-03-13 04:17:40
1
To see more videos from user @fitstars_1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.