usikute hakunaga usiku sema tu kuna muda macho yanakuwa battery low😂😂
2026-02-25 18:14:10
1077
Gracious G :
😊 Akili za Mungu hazichunguziki 🙌🏾
2026-02-25 16:43:52
626
Chloe cute :
ukimtafakari Mungu utachanganyikiwa Mushukuru Mungu kwakila jambo
2026-02-26 07:26:04
197
Benny :
kama unampenda yesu like hapa
2026-04-19 19:57:16
108
GODSON :
upo kalibu na ukweli endelea kujihoji
2026-02-26 12:48:46
33
Mama Victor💞💞 :
Wacha kukufuru AKILI ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI WALA KUELEZEKA😭🙌🙌🙌
2026-02-26 09:19:46
70
Pink mellow :
Hii ni story mungu anamsimulia adamu jinsi itakavyokuwa Akila tunda😁
2026-02-25 16:59:24
47
Fetty :
MTUME MUHAMMAD AMESEMA TUPO DUNIANI KUPIGANA NA VITA VYA NAFSI … yaani NAFSI zeta ndio ADUI yetu tukiweza safari ya peponi NI YETU…. Tuache tamaa ya hela tamaa ya mwili tamaa ya mapenzi chuki ya mafanikio ya watu na kujitoa uhai… SISI WAPITA NJIA TUPO KWENYE NDOTO… tukifufuliwa ndio tutakua TUMEAMKA KILA KITU KITAONEKANA KAMA KILIVYO ULIMWENGU USIO KUA NA SIRI WALA MASWALI NI UKIMWENGU WA HUKUMU NA HATIMA❤️
2026-02-25 20:27:01
44
princess dayana💫 :
😅😅🥰 ila hakika bn TUPO DUNIANI KWASABABU MUNGU ALITAKA AANGALIE UTUKUFU WA KAZI YA MIKONO YAKO
2026-02-25 17:38:07
62
R7 GRIBET :
eboooo subiri nafikili hii ni game sema hatujajua tu😁😁😁😁😁😁😁😁
2026-02-26 13:55:43
6
Sinah Aj Canela :
Em Subir kwanz 😂
2026-02-25 17:59:41
15
Restie ♥️ :
Kupi ni kupii😂
2026-02-25 17:07:01
38
Sally :
na ni Yesu anakuja ama sisi ndo twaenda😭😭😭
2026-03-02 08:34:36
8
kagwe :
au it's confusing
2026-02-25 17:19:02
11
judy :
sema umewaza vizuri
2026-02-25 18:06:25
12
Phinepaul :
akili za MUNGU sio sawa na za mwanadamu😊
2026-02-27 17:16:14
6
Tamara :
Kumb 29:29“Mamb ya siri ni ya Bwana Mungu wetu; lakini mamb yaliyofunuliwa ni yetu na ya watoto wetu milele, tupat kuyafany maneno yote ya torati hii.
2026-02-26 20:07:54
6
Tetema1 :
it's confusing 🤣🤣
2026-02-25 19:58:34
5
marycine :
akili za Mungu hazichunguziki
2026-02-25 16:49:32
8
rosana :
hutakiwi kujua sana we changanyikiwa hivyohvyo
2026-03-06 19:32:14
5
regna Daniel ❤️ :
tuachane nayo hii kwanza 😁😁
2026-02-25 15:40:56
11
phayner61 :
Hii ya ndoto na mim nimevulugwa
2026-02-25 18:50:36
7
lucier🌹 :
it's confusing btw 😅😅
2026-02-25 16:36:59
6
Hellenah njery :
story ya mkuu inachanganya kwa kweli
2026-02-25 16:57:48
5
officialzai38 :
10/10
2026-04-29 08:25:56
0
To see more videos from user @hakikaruben, please go to the Tikwm
homepage.