Ndio maana nimesilimu ,Alhamdulillah a'la nai'matul Islam ALLAHU AKBAR ☝️,
2026-02-26 13:26:09
205
0776413203 :
kaka sijuw kwa nn ila nikiskiliza kur an najikuta natokwa na machozi hii huwa ni dalili ya nn
2026-02-27 07:27:01
35
Truth above all.. :
waambie kuhusu mambo ya maruhani...
2026-02-26 15:05:09
4
SORRYDA :
alivyo na ulivyo navyo tofauti big up my brother
2026-02-26 17:41:21
45
BOZEN :
Mashallah M/mungu atujalie mwisho mwema
2026-02-26 18:11:44
16
Saad Dumila :
Allah akuhifadhi na akuinue
2026-02-26 11:30:32
6
BAMMDOGO PIRIKA :
Shekh mungu akueke ila kwa sasa baadhi yao uo uovu kuficha kwenye ucha mungu sio kama hawajui wayatendayo
2026-02-26 12:09:07
16
Alone :
Allah akupe husnul hatimah!
2026-04-26 05:21:18
1
Dee_17 :
Mashaa Allah Allah akujaze kher lakin katika kurekebisha alipokimbia kwenda kujifunika alitokea katika jaabal hiral alipotoka kuminywa mbavu kwa kusomeshwa Iqra (Surat kharaq) akamfata tena nyumban hadith sahih.
2026-02-26 14:10:02
16
mudykidogo3 :
kwa hivyo sio jabali hiraa?
2026-03-02 09:27:06
2
Nassor mchuzi :
kaka aya maneno yanatakiwa kila Muislamu ayasikie nimuhimu sana huu ukumbusho
2026-03-01 05:56:17
7
nurdin :
Allah akuifadhi Sana sheikh wangu kiukweli masheikh wamekuwa mtihani mkubwa Allah atuhifadhi
2026-02-26 16:24:22
14
Kaniki jr :
allah akupe afya njema maalim upo sawa na ni kweri kabisa
2026-02-26 17:27:35
7
mrjaguar0561 :
Watu wamezoea shekh mpka avae makanzu😂kumbe ushekh ni Elimu bana Mashaallah mngu akueke sanaa mwalimu🙏🏼
2026-02-26 17:27:22
11
abubakarramadhan47 :
Jazzakallah khayran
2026-03-07 12:11:51
1
Samado :
ukumbusho mzuri kwetu .shukran
2026-02-26 11:43:57
13
caliara :
Allah barik,ujumbe mfupi lakini fact
2026-02-27 17:52:40
4
LEISHAAM-Tz- 10🇹🇿🇹🇿🇰🇪 :
Sio wavaa kanzu wanachuoni mpaka ware ww unao wachukuria poa wanachuoni
2026-02-26 11:31:27
9
Nasoro Charles :
jina la huyu ndugu tafadhali huwa anatoaga maelezo mazuri sana
2026-03-03 02:04:37
2
MlanziTZ :
Shukrani Shekhe ALLAH akuzidishie 🙏
2026-03-02 19:24:12
2
Hans :
mbona unaonekana msela
2026-03-05 09:20:26
0
Mohammed Abass :
mashalwa
2026-03-17 21:09:27
1
ABUU MUSILIMU :
WEWE SASA NDIYO SALFIYUU
2026-02-26 23:30:24
2
Phat_albert :
Mashaallaah ..aya zimelala penyewe...#ALLAH akujaalie tupe elimu zaid
2026-04-07 22:59:51
1
123456789 :
Nakupenda kwa ajili ya Allah 🥰❤️🥰
2026-02-27 12:27:33
2
To see more videos from user @ummatmohammad1, please go to the Tikwm
homepage.