@unique_bailly: taarabu challenge #taarabuchallenge @Sheby kinanda classic band

Unique Bailly
Unique Bailly
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 February 2026 23:22:50 GMT
2177261
79932
856
4960

Music

Download

Comments

tifashey77
Tifashey7 :
Hii nyimbo wanaume waipenda kisiri siri😅
2026-03-07 09:59:34
603
gozbethgodfrey
G.Dax :
hii nyimbo nasikiliza kimya kimya ndani Watu wasije wakajua nasikilizaga taarabu 🤣🤣
2026-03-05 20:25:27
869
iq_vision_tz
Mr 𝔦Q🚶🏾‍♂️ :
Hizi nyimbo zipo mbili? 🙄🙄
2026-03-05 21:26:22
254
ua_bei_tanzania
ua_bei_tanzania :
SEMA HII MIGOMA WANAUME TUNASIKILIZIA KWANYE EARPHONES 😁
2026-03-06 10:09:00
264
lunaetoile5
luna❤️‍🔥 :
Sina mda na mtu kupiganaa…🔥❤️
2026-03-06 04:48:37
105
ashelmapumba
Ashel Mapumba :
😂😂😂 sijali skendo za kuleft wala nn, goma naliliza kwenye sabufa
2026-03-06 17:52:47
76
ramadhanmgwadu
ramadhanmgwadu :
Sjui kwa nini hizi ngoma waliamua kuzipa jinsiaa🙌🙌
2026-03-06 22:16:08
144
radhiamohammed858
Amirath~🧕🦋 :
koment za wakaka ndy zinanichekesh😅😂😂
2026-03-07 18:56:03
82
hii_its_wolta
hii_i am_wolta :
nilijibana nikashindwa hatimaye nime download nasikiliza vizuri2 wakusema waseme2 ila Mimi nitabaki kuwa mwanaume2😅😂
2026-03-07 20:37:29
21
missjevah
Marie🩷🦋 :
Anafanana na Asma Majid
2026-03-06 13:53:45
64
ja60.9441
CoCsik :
Kuna haja ya kuwa na huu wimbo ila sasa nausikilizia wapi mimi, yaani ungenifaa sana wakati wa kukaanga chapat geto😂
2026-03-08 19:46:03
8
sevenbale1
sevenbale1 :
Hii nyimbo Kali Ila naiskilizaga getho kwa sauti ya chini San😂😂
2026-03-06 15:44:40
58
godfather2135
GODFATHER :
wanaume wanaoskilizaga hi Tarab kimya kmya kama mm like hapa
2026-03-06 18:22:05
21
moneyhunter285
Hunters :
Me nikazani huwa wanasema chakula cha buku mbili unajikuta mayele😁 kumbe kijora 😁
2026-03-06 20:00:17
15
josephatism
Kîñgô Jùñîôr :
Hii Nyimbo nikiwa na Mamtu Na connect Bluetooth ili ikiimba ajulikane yeye anasikiliza😂😂
2026-03-12 00:54:53
7
astonminer_
𝗔𝘀𝘁𝗼𝗻𝗺𝗶𝗻𝗲𝗿_ :
Kijora cha buku mbili unajikuta Mayele 😂🔥
2026-03-07 01:41:11
10
sarahstimbo
lmsarahtimbo :
nilichogundua wanaume wanapenda taarabu
2026-03-07 19:35:23
20
michael._.wilson002
Michael Wilson :
ngoma kali ila sina uhuru wakusikiliza bila earphones
2026-03-09 00:16:51
9
leahkanje
leah :
Mdada nzuri pia sauti ndio sana
2026-03-09 16:44:28
5
_kain.dior__
_mwende🎀 :
2026-03-06 07:26:27
7
lemonade_nilan009
i.t.z_n.i.l.a.n001 :
navaa pods sije nkaambiwa napenda taarabu
2026-03-08 10:18:56
5
faytarimo179
Fay💞 :
nimegundua wanaume wanapenda hii taarabu Ila Ndo hawapo huru 🤣🤣🤣
2026-03-06 19:18:19
10
lokongaaaa
MISOZA 🐷 :
umu tu
2026-03-06 04:44:40
5
veronica.chilumba
konde girl🥰🥰 :
samahani naomba majina ya hizi nyimbo jmn.
2026-03-10 15:55:19
14
nasho577
Nasho Mc :
2026-03-06 07:10:48
6
To see more videos from user @unique_bailly, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About