@dr.fathy.saidi: Replying to @ndikumanajolie413 NDOTO NDIO UFUNGUA WA MAISHA YAKO .MILANGO YA BARAKA UFUNGUKA KUPITIA NDOTO ,NDOTO NI UJUMBE WA MAMBO YANAYO KUJA MBELE AO UNA AMBIWA NINI UNATAKIWA KUFANYA KWENYE MAISHA YAKO #fyp #foryou #usa🇺🇸 #canada_life🇨🇦 #ostralia🇦🇺
Dr Fathy saidi
Region: ZA
Thursday 26 February 2026 05:48:59 GMT
Music
Download
Comments
Rehema Amina :
jmn tupe na dawa ya kukumbuka ndoto maan naota ila sikumbuki 🥹🥹
2026-02-26 06:06:44
253
Deolee Lucas :
mbona wanasema alipangalo mungu akuna wakulipangua tumuamin Nan
2026-02-26 15:03:23
107
Big Dream :
go straight to the point dada acha kuongea sana
2026-02-27 10:15:44
67
Irene❤️ :
nimeziota izo ndoto sana
2026-02-26 08:55:03
33
Irene Irene :
huyu dada asante nimesaidika sana. na dawa zako
2026-03-29 06:29:14
10
faïence :
ndiyo
2026-03-02 19:00:30
14
alwatan maarufu :
follow me
2026-03-02 20:53:58
8
paxinah nanyangwepaxina91@gmai :
nimeziota ezo ndota
2026-03-08 21:56:48
7
Pedro pedro Agira :
naota napaa Tena sana
2026-04-17 17:07:48
5
Aisha leticia :
As waleykum ww naomba na mimi dawa ya mkono wabiashara wateja wajae
2026-03-11 15:09:07
6
Chance wamagala :
unatuambia Nini sasa ? atukuelewi
2026-03-03 13:45:26
7
Salma Salma :
Nimeota saana napaa
2026-02-28 07:30:22
8
Janety :
mi nimeota sana napaa
2026-03-16 08:07:22
5
Salome Tari :
Mm nisha ota napaa
2026-04-08 19:13:26
5
ringings :
kweli
2026-02-26 20:40:02
7
BACK UG :
me
2026-02-26 22:42:10
9
Martin wabenga Ngoli :
Amina ♥️
2026-02-26 20:16:21
11
mercy love 💞💞💞 :
Thatks my God bless you 🙏🙏
2026-03-17 20:55:44
6
El fifi shanaya :
nliwah kuota napaa pind npo mdogo na nliwah kuadsia.
2026-03-02 00:50:56
13
user9660593916577 :
Asante dada
2026-02-26 11:34:03
10
11111 :
mimi nimeota napaa juu
2026-02-26 06:20:47
77
Saada Masanja :
Nikweli kabisa unachosema dada ........
2026-02-26 11:02:45
16
Prince edo :
ooooh asante sana madame kwa kwwitupa zawandi zuri la shauri iyo mungu akulinde na akongezee akili wendelee ivo ivo.
2026-02-26 19:58:06
13
SALIM OG🚣♂️🫰💫 :
nimeshaota napaa mara kibao
2026-03-05 09:34:52
15
To see more videos from user @dr.fathy.saidi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.