@laughs_on_leonardo: MSISHINDANE NA WABABA😂😂😂😂😂 @ZAN SECURITIES Zan Securities Ltd ni mawakala wa soko la hisa, washauri wa uwekezaji na wasimamizi wa uwekezaji waliodhinishwa na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA). Tunakuwezesha kununua na kuuza hisa pamoja na dhamana mbalimbali kama hatifungani za serikali na makampuni. Pia tunasaidia kampuni zinazotaka kukusanya mitaji kupitia masoko ya mitaji na dhamana. Aidha, tuna mfuko wa uwekezaji unaoitwa TIMIZA Fund ambapo sisi ndio waanzilishi, wamiliki na wasimamizi wake. Mfuko huu unalenga kuwapatia wawekezaji faida ya wastani wa takribani asilimia 15% kwa mwaka kulingana na utendaji wa uwekezaji. Tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika sekta ya uwekezaji, tukiwa na ofisi zetu Dar es Salaam katika jengo la Viva Towers (Posta, ghorofa ya kwanza) pamoja na Zanzibar katika jengo la Michenzani Mall (ghorofa ya tatu). Lengo letu ni kukusaidia kukuza mtaji wako kwa usalama, ufanisi na ushauri wa kitaalamu. Karibu Cc: @_lu.ivan @jaykiporo @fashasol 🎥: @panthertz1 @sixndale Edits: @jaykiporo