@glowing_by_pee: 1️⃣ Karibu kila msichana ana michirizi. Ndiyo, karibu wote. Lakini watu hawazungumzii hilo waziwazi. 2️⃣ Michirizi haimaanishi hujitunzi. Inaweza kuja kwa sababu ya balehe, mabadiliko ya homoni au mwili kukua haraka. 3️⃣ Hazitoweki 100%. Ukweli ni kwamba zinapungua rangi kadri muda unavyopita — lakini sio “miujiza ya cream” kama wanavyosema wengine. 4️⃣ Michirizi si kasoro. Ni alama ya ukuaji. Mwili wako umebadilika, umeendelea — na hiyo ni kawaida kabisa. 5️⃣ Confidence yako haipaswi kutegemea kama una michirizi au huna. Watu wengi unaowaona mtandaoni? Wengi wanazo — wanatumia tu filters au editing. Mwisho wa siku… mwili wa binadamu si plastiki. Ni halisi... #GlowUp #skincare #beauty #glassskin #urembo
THE BEAUTY CORNER
Region: TZ
Thursday 26 February 2026 10:00:12 GMT
Music
Download
Comments
Sarah😁🙈🍁 :
Hatimae tumetetewa wenye michiriz🥺
2026-02-26 18:56:27
35
Climbing Kilimanjaro :
Sifkirii kama unaweza kumkuta bikra ana izo vitu
2026-02-27 04:54:01
6
Mrs...fanuel💕 :
watuuu wenye michirizi tukogo watamuuuuu balaaaa amjuag at😂😂
2026-02-27 15:03:16
3
kama mwanamke unayo hiyo mchirizi wee mtamu sana
2026-02-27 09:34:28
4
shanxaiextra :
Nazipenda na siwez toa ng’o
2026-02-26 21:18:15
5
MAKANGA JR.🥰 :
nikikutanaga na demu anazo hizo michirizi duuuh uwaga nafrahi saana naipenda mno
2026-02-27 09:11:17
4
💲🛳 :
mm nikimpata mwanamk mweny iyo michiriz nakua sielew
2026-02-27 00:27:52
1
Merry Lucas :
Asante maan Niko naz ming mno
2026-02-26 20:42:29
1
Monique :
Hatimaye🙏
2026-02-26 19:22:04
3
MR SMILE😎🇨🇩🇹🇿🇮🇱🤑💰 :
wenzenu tushapewa sumu mtu akiwa ivo ni ukimwi 🙌
2026-02-27 09:05:09
2
@hamisi.kindole :
kuna mshikaji angu wa kiume anazo,lakini amezaliwa mayo hiyo michirizi
2026-02-27 01:04:02
1
Gay mnyamwezi💃 :
kweli
2026-02-26 15:49:15
6
No Name :
mwanamke wa ivyo nakulaga kibishi tu lakin huw siwaelewagi kama chatu
2026-02-27 04:41:01
2
Getrudeh :
😂😂😂me wacha niwe nazo tu drainege pattern zangu😂😂
2026-02-27 10:54:18
3
Nuruu Cute🥰🥰🥰 :
nataka dawa
2026-02-27 16:29:40
1
Therealkevootz7🇹🇿 :
michirizi ad kwa wanaume ipo
2026-02-27 19:53:22
2
sokolo_ogg :
mim napenda wanawake wenye michilizi hatali
2026-02-27 11:24:57
1
Ludovick harson :
Yaani nikimkuta na hii kitu duh naipenda sana
2026-02-27 20:57:07
1
user9653831444337 :
afadhar tusaidiane👑
2026-03-03 10:01:10
0
chuga boy :
nyimbo inaitwaje
2026-03-12 22:15:52
0
steve@16 :
mdada mmoja mwenye michirizi ajitokeze jaman nawapenda sana
2026-03-01 20:29:35
0
steve@16 :
ni uumbaji wa Mungu pia ni nature ya mtu na mwili wa mtu...
ndio maana kuna wenyenazo na wengine hawana
2026-03-01 20:28:49
0
Dully_savage97 :
NIMEONA UKIMWI LIVE😂😂
2026-03-02 17:20:15
0
officialïsāck :
nikimukuta Dem Ako nahizi michirizii hua pagawaa aisee 😂😂🙌
2026-03-01 05:21:24
0
👑 Trendy Looks TZ ✨ | 👗👜 👟 :
Acha uongo hiyo michiriz ni utamu 😂😂
2026-02-27 09:17:38
0
To see more videos from user @glowing_by_pee, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.