Kila nikitaka ku skip video yako naona nimepitwa na elimu mhimu, I can't able🤣🤣
2026-02-26 10:47:23
255
V&pesa :
Wale wa kuokota chochote habar zenyuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-02-26 10:59:26
78
HappyStore💜🛍️🛍️ :
Me nae mwaname wakunishika mkono kwa maneno sitaki labda wakunishika kwa ela
2026-02-27 08:42:44
42
gracesenga2 :
😔😩😭😭😭😭nimeliaaa na hapo ndo jaribu lilipo, utapambana utafanikiwa but mahusiano yanakufelisha
2026-02-27 07:54:10
13
Jen Juma :
nashukuru mungu nimekutana na huyo mwanaume 🙏🙏🙏
2026-02-26 11:37:05
38
prillyKidoti :
Kila nikiona video zako dada fifi vigezo na muda wa kusema yes i do unaongezeka .!! 🤣🤣
2026-02-26 12:01:34
17
star :
msanuaji wangu nakupenda sana dada angu🥰
2026-02-26 11:08:00
32
Linah :
ningeweka stutas ila ntakosa ndugu😂😂
2026-03-08 10:11:08
7
Miss Renee :
hii Ni kubwa,wenye akili tu ndo wataelewa,hasa ambaye kaamua kupunguza hisia, afu akaongeza akili🥰🙏,be blessed Cc for this 🙏.
2026-02-26 14:44:55
12
aminaally508 :
ujumbe sahihi kwa wakati sahihi kwangu
nipo smart kwenye kuchagua
2026-02-27 11:04:53
5
culatecollection :
Mmejaribu kumuomba Mungu mahi zangu🥺
2026-02-28 13:27:56
5
dyna :
nilishaangukia pua nimekaa na mwanaum 6years, sina chochote now nimeanza mapambno mwenyew, ndani ya oman. nione je miaka miwili nitakuwa na nn.
2026-03-06 10:00:25
9
Queen Bruno :
😂mbona kuokota chochote , , fungulia bas niweke status🙈🙈
2026-02-26 12:42:58
10
houseofmtumba1 :
Nimimi kabisa jmni mwanaume ambae kichwani hakuna I can’t 🙌🏼 hayakama pesa hana anisaport hata mipango
2026-02-26 19:19:20
6
@ Isamamy😍 :
umeongea point
2026-04-07 12:08:29
2
Nevere Kina :
wangu hawezi ,Mungu naomba mwingine, Amina🥰
2026-02-26 12:50:18
6
Aisha :
Me niliko tokea sitaki mtoto wangu apitie
2026-02-27 21:01:03
6
Jenny(Nyar kamba) :
habari zenu wapambanaji wenzangu🥰👋
2026-02-26 16:16:28
6
R.m&n delicious cakes :
Nashukuru Mungu siku ya kwanza kabisa wakati napamba cake butter cream ilikuwa inashuka mume wangu akanambia usikate tamaa apo jasho ad la miguu linanitoka akanisaidia kupamba cake ad ikawa cake kweli
Na mpk Leo hii ananisupport sana kwenye baking
Karb sana nipo kigamboni napika na kupamba cake
2026-04-02 08:25:35
4
MAFIA QUEEN 🙅🙅🧝 :
kweli kabisa kipenzi umeongea very point
2026-03-12 18:36:39
3
JITA FASHION HUB 👠👗💼👜 :
mi nakupenda saaana dear , yani unaongeya facty saana mungu azidi kukupa ufahamu na uzidi kutuelimisha mi amour 🥰
2026-03-14 12:30:30
3
Angel shop :
Upo sahihi dada
2026-03-25 16:37:54
2
shozre❤💫🍎 :
Fact my sister♥❤♥
2026-03-01 07:12:41
2
official💜prish@💜💜 :
dafiona nakupenda mnooo mwnyz mungu akupe pepo freridunia aliakhela
2026-03-09 12:49:47
4
Kabula wa kuchaji 😂✨🦋 :
Leo ndo nimejua kumuelewa Fiona inatakiwa uwe na level fulan ya kujitambua hivi hivi huez muelewa congrats ssy🌸
2026-04-16 13:27:08
2
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm
homepage.