@beautyhive06: Nivea lotion zipo dukani Hyo vitamin c nyeupe ya mwanamke anayependa kung’aa na ana ngozi. Ya kutepetaa au mapaja yaliyo tepeta. Uso umetepetaa uso wa mafuta mengi inakaza ngozi mnooo . Blue hyo vitamin c ya mwanaume mwenye mafuta mengi usoni au chunusi hii blue haing’arishi Brown mtu yoyote mwenye ngozi kavu sana 18,000 jumla 16,000 #tanzaniatiktok #creatorsearchinsight #Beautyy #nivea