@frank_cosmetics: Watu wanajiongeza jitahidi kuwa makini✅ SMOOTH ARABIAN OIL 👉hii Ndio best Oi kung’arisha ngozi vizuri Sanaa 👉inaondoa madoa kwa haraka Sanaa 👉inalainisha ngozi vizur Sanaa yaan kama unamakunyanzi hii inamaliza kabisa 👉Kama unataka vitu ORIGINAL chimbo ni moja tu FRADAO COSMETICS 🔥🔥🙌 #smooth #ORIGINAL #VIDEO #TREND #cosmetics

FRADAO COSMETICS
FRADAO COSMETICS
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 February 2026 11:05:15 GMT
124080
1724
190
230

Music

Download

Comments

:
Mimi nahitaj original
2026-02-26 20:39:02
4
:
jaman mm nimenunua 30000 jaman najuta mm uso unawasha kama moto mm najuta jama
2026-03-22 15:13:27
4
:
hiyo mnasema orginal ndio Niko nayo na hamna kitu zaidi napata chunusi usoni na sugu vidoleni
2026-03-23 12:08:12
4
:
Utofaut wake ni rangi tuu au kuna utofaut mwingine
2026-02-26 19:00:16
5
:
jmn niko kahama nataka
2026-03-06 20:05:50
1
:
bac mimi nafek
2026-03-10 09:55:10
1
:
usoni unapaka??
2026-03-03 14:40:34
0
:
Wale wa mombasa endeni kwa shop with tamata tuu yenye hiko huko ni oriental
2026-03-22 19:07:49
1
:
N kwann mpke Oil Uson jmni!!
2026-04-22 13:45:54
1
:
Kenya nitaipata aje please
2026-03-18 13:45:05
1
:
Nipo Arusha napataje
2026-03-18 15:50:12
1
:
mimi nahitaji original
2026-03-16 09:22:52
1
:
naweza paka usoni
2026-06-16 10:18:33
1
:
nahitaji
2026-03-24 07:47:30
1
:
je usoni unapak
2026-06-16 18:20:20
1
:
Bei gani
2026-03-18 14:51:58
1
:
mm ni ngum
2026-06-05 17:07:03
1
:
namba ya Whatsapp tukufate inbox
2026-05-21 08:42:03
1
:
sasa kwann nawewe uchukue fek
2026-02-27 19:16:00
2
:
mnauza je mafuta
2026-03-02 19:09:05
1
:
Utofaut ni nn hapo sijaelewa 🥰🥰🥰
2026-03-29 13:19:03
1
:
kwer nilishikishwa sioni matokeo hata kidogo 😏
2026-03-03 09:30:52
3
:
Uko waitaji
2026-03-18 07:03:52
1
:
Sh ngap
2026-02-26 15:20:41
2
:
mm yangu ni nyepesi sana yan kama maji
2026-03-22 15:14:09
0
To see more videos from user @frank_cosmetics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About