Kila mtu anielewi Mungu kuja mwenye kwanzia siku hii ya 1 mwezi wa tatu kuja mwenywe 😭😭😭😭😭maana I need answers God🙏
2026-03-01 10:36:30
23
mkenda_store :
Aloooooooh😍😍😍😍😍😍😍🙏
2026-03-02 19:24:48
6
🫧Karisa🫧🌸 :
This is so beautiful 😍 🥹🙏
2026-03-04 20:47:02
10
Murima baby❤️🥀 :
ombi langu mwezi huu wa marchi🙏
2026-03-01 05:20:19
5
pilisafari😍 :
Amina
2026-05-18 19:00:34
2
Eng; mbwambo :
hatonielewaaaaaaaa! yesuuuuuuu
2026-06-01 10:27:18
2
Kabanda jr :
uje mwenyewe baba nimekaa miezi 3 bila.kazi leseni imeisha natakiwa kusoma nimesoma nimepata cheti nimeenda linyuu nimeambiwa cheti sio chenyewe nimerudi chuo kufwatilia nimeambiwa nisubilie wiki mbili ila baada ya wiki mbili pia bado cheti hakija toka ,nimesimama kazi siwez anza bila cheti mungu njoo wew mwenyew moyoni Nina mengi ,mke ,watoto wanakufa njaa baba njoo baba angu
2026-07-15 18:21:57
2
bebline67 :
Amen 🥺🙏
2026-04-07 13:13:27
3
SAIMON FM COLLECTION :
😭😭😭😭😢😢😢😭😭 eee mwenyezi mungu kwa nini umeniacha mimi kijana mdogo nalia na teseka pekeangu baba pesa ninazo umenipa lkn mapenzi yananisumbua baba nimeachika leo baba ee mungu mapenzi yanauma sana usiniache pekeangu baba nakuitaji kwenye kipindi iki 🙏😢😢😭😭😭😭
2026-05-17 15:59:31
0
To see more videos from user @musicheals_tz, please go to the Tikwm
homepage.