@irene_keza: #sisindiowaletunaosaidiwanabwana #viral #gospel #40days #fyp

Irene❣️🦋
Irene❣️🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 February 2026 18:44:08 GMT
129484
4345
188
508

Music

Download

Comments

mosnery.baba.b.kub
mosnery baba b kubwa :
fanyeni na ushoga mna uhuru
2026-02-27 05:12:04
13
gwilakidinilo245
gwilakidinilo245 :
ulitaka katika hilo andiko kuwepo neno mavazi....lakini halipo
2026-02-27 05:30:32
20
lylianalyly1
lylianalyly :
kuwa potosha tu watu mafundisho yamekuwa mengi😏
2026-02-27 06:22:38
7
user59215667935603
Zafarani :
INA MAANA POMBE NI HALALI KWA ANDIKO
2026-02-27 06:38:35
3
cyrus_mway
cyrus :
the scripture s about mixing of Christianity and jewish laws... but mwishoni kaua he want you guys to grow in Christ..
2026-02-27 00:08:11
5
samuel.godfrey.mw
SAMUEL GODFREY MWAMBASHI :
IBADA IJAYO TUNAKUJA NA KONYAGI NA VISUNGURA KANISANI KWAKO
2026-02-27 07:43:48
3
jerry.trone
Jerry trone :
kwaio ndo mvae nusu uchi kwenye ibada sio
2026-02-27 13:14:23
0
nestorymoric
Mr. Auditor 2025. :
ok...kwanini edeni waliwekewa mipaka ya kula .. kwanini wanawake ni wengi lakini tunaoa mmoja.. trust me dunia hii hatujawahi kupewa kibali cha kutumia kila kitu ili andiko lina msingi wake ambao watu wengi hawaijui..imani bila matendo haijakamilika.
2026-02-27 06:46:58
3
havan8303
havan291 :
Nimtumishi lakini maandiko hamnakitu
2026-02-27 11:09:07
6
robbyone00
robbyone00 :
Hiyo tafsiri sivyo ilivyo
2026-02-28 05:30:52
0
abrahamtarimo
tarimo SR :
pole I wote mliopo ktk kanisa hilo mana mnasukumwa jehanam
2026-02-27 10:06:08
0
bintiwayesu01
BintiWaYesu :
Mafarisayo wanapinga hadi neno jamani,kwanini lakini😅😅
2026-02-27 09:44:48
0
adroko23
aamog2030 :
kwahy pombe ni halalai cy maana walokole watatuua
2026-02-27 20:43:22
0
mwairwachrisant
Mwairwachriss :
naomba msinishauri mtanichanganya bure
2026-02-27 18:21:09
1
patrick.maina66
William @1844 :
sabato iko na niya milele
2026-02-27 11:58:55
2
user8577532283002
user8577532283002 :
vinywaji hapo ondoa pombe
2026-03-01 09:22:30
0
user67325659151378elie
@ELIE BVN Officiel :
ina maaana ndani ya dini Yako, kuwa mlevi siyo kosa?
2026-02-27 12:05:30
0
albertemmanuel02
Aidan Idan :
nina mashaka nahuduma yako bro.
2026-02-28 15:11:58
2
tumwendee_yesu
TUMWENDEE YESU :
Soma biblia uilew na ukaribishe roho mtakatifu akufunulie
2026-02-27 04:22:49
1
hezronssylvester
Sylvester :
Sabato zinazozingumziwa hapo ni sabato za Musa ila siyo sabati ile ya Mungu hili andiko bado waru hawajalielewa vizuri
2026-02-28 03:16:50
0
william.john2724
williamjohn7281 :
ujasoma vizuli tafuta kueleweshwa ili ujuwe maana yake
2026-02-27 20:45:33
2
benfavor2
Benito@G :
pastor T asante sana kwa nuru hii nimepona
2026-03-15 08:53:26
1
emeravena6
️Jacky_samaki_mwanza :
Ila walokole na hili fungu haya😂😂😂😂
2026-03-03 14:19:44
1
mwagitokumbiligasa
mwagitokumbiligasa :
kunywa bia tatu mchungaji
2026-02-27 17:10:52
1
erickponela552
Precise :
shida ya watumishi waleo ni motivation speakers na komediani.
2026-02-28 08:27:10
2
To see more videos from user @irene_keza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About