@zahmid_tz: Malezi ya mtoto wako yapo mikononi mwako, usiharibu tabia yake kwa vitendo vyako unavyofanya mbele yake maana mtoto anaiga kutoka kwa mzazi wake kwa asilimia nyingi hasa pale anapokua mdogo, zingatia ✍️ mzungumzaji:Sheikh Said Bafana ⭐️Follow ili ufahamu uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, darsa, Qur’an na hekima mbali mbali. #uislamu #islamicpost#mawaidha#islamicvideo ⭐️FOLLOW ⭐️ @islamic_halawah @zahmid_tv @nuru_ya_peponi @zahmid_tv @islamic_rihla