@haraka_spice: Mama wengi tunazingatia afya tu… lakini tunasahau ladha 🥺 Mtoto pia ana hisia za ladha kama mtu mzima. Chakula kisipokuwa na mchanganyiko mzuri: – Mtoto anakataa kula – Anakula kidogo – Au analia wakati wa kula Jaribu kuongeza: 🥕 Mboga zenye rangi 🐟 Protini kama samaki 🌱 Mchanganyiko wa ladha asilia Chakula cha mtoto kiwe: ✔ Healthy ✔ Soft ✔ Na KINA LADHA Ushawahi kupitia changamoto ya mtoto kukataa kula? 👇🏽