@smith.heisenburg: Duka la Matunda la kisasa🍇🍉, Hapa unatumia matunda Unaondoka ukiwa na furaha #creatorsearchinsights #traveltanzania #kenyantiktok🇰🇪 #viralvideo #solotravel
Tembele JR
Region: TZ
Saturday 28 February 2026 10:25:39 GMT
Music
Download
Comments
Tecy :
Jamani naomba kujua mnafanya fanyaje ku maintain storage ya hivi vitu visiharibike??
2026-03-01 09:23:55
81
sunshine☀️ :
hili ndo genge sasa
2026-02-28 15:34:12
49
@Aloft_ ally🖤 :
🙌🙌🙌 asee Kuna watu wanabiashara Kila la kheri
2026-02-28 11:47:02
51
🌸Manzi ..❤️ :
Location jmn 🥲
2026-03-01 11:21:30
7
leah de gal🤍🌸 :
Mpo wapi
2026-03-01 08:52:18
8
Jay_b_one_juma :
Haya kwa hali hii mm kigenge changu bado kabisaa lakin Mungu atasaidia kitakuwa kikubwa kikubwa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-03-01 19:54:48
4
𝕵𝖊𝖗𝖎𝖈𝖍𝖔 𝕯𝕸 :
Ukiona utadhani haviozagi hapo😂😂 weee jaribu uone.
2026-03-03 06:41:28
2
Tembele JR :
Duka kama hili ni uwekezaji jamani sio simple
2026-03-01 18:16:05
1
Moureen momo :
daaah una tabia za boyfriend wangu naumiaga kwel
2026-03-24 13:55:08
0
Anitha :
mwenyezi Mungu nataka kama hili mimi🥺
2026-03-15 01:13:20
1
Mwana :
apa sio tz
2026-03-02 05:07:31
2
Butterfly🦋 :
Hapo ni wap?
2026-03-03 12:22:57
2
Neema :
😂😂😂😂😂😂baba wewe n bahilii kama ulivosemaa
2026-03-04 03:26:33
1
T Msigwa♥️ Fashion🥰♥️ :
10/10🥰🥰
2026-03-01 18:41:41
4
MANi :
Humo kunataka AC muda wote vitu visioze
2026-03-21 15:44:05
2
Kabula wa kuchaji 😂✨🦋 :
mmmh Aiseee
2026-03-02 22:52:48
1
𝐁𝐥𝐚𝐜𝐤 𝐀𝐧𝐠𝐞𝐥🖤🪽 :
Wooooow❤️
2026-03-09 07:05:02
2
BOSS-LADY collectin :
upo wapi best
2026-03-28 04:02:37
1
FAVOUR MYSTIC :
wapi huku
2026-03-04 04:05:20
1
M Z :
Where is this shop
2026-02-28 14:19:27
3
Double i :
Natamani kufanya hii bz
2026-03-01 03:09:08
3
Mwegelo@caroline :
we are open☺️☺️☺️
2026-03-06 09:30:42
1
feymaramadhan2 :
hapa ni wapi jamani
2026-03-02 09:27:07
1
feidh04 :
Location jmn nishanunua fridge
2026-03-02 09:31:06
1
Tembele JR :
Follow, like, comment, share 🍅🥬🥦🌽🫒🌶
2026-03-01 17:37:16
1
To see more videos from user @smith.heisenburg, please go to the Tikwm
homepage.