@nyebowsa_media: Kulikuwa na wakati jina la Nedy lilisikika na kipaji chake kilionekana kuwa na safari ndefu mbele. Lakini leo, kimya kimetawala. Wengi wa mashabiki wake wanabaki na swali lile lile alienda wapi, na ndoto zake pamoja na kipaji chake zimeishia wapi? Inatia huzuni kuona kipaji kizuri kikipotea bila kuaga, huku waliokuwa wakimuamini wakiendelea kumkumbuka na kutamani siku moja arudi tena kuangaza kama zamani. #nyebowsamedia #tanzaniantiktok #kenyantiktok #nedy #tanzania
Nyebowsa_Media
Region: TZ
Saturday 28 February 2026 10:55:18 GMT
Music
Download
Comments
venom girl :
alikataa ushoga mziki kutoka kazi sana
2026-03-01 08:45:12
186
Amon Lucas :
ubishoo ulizidi 😂😂😂
2026-02-28 12:47:51
6
It’s me 💦🌸 :
yupo kwangu tunaleana 😅😅😅😅😅
2026-03-01 18:46:26
43
jmn kakonda uyo nilimuona posta tower branch crdb maisha yamempigaa🤣😆
2026-03-01 04:43:48
27
Nasho Mc :
mpemba kaacha ndala
2026-03-01 05:47:28
19
Zeinab💞G :
aaah wapi My crush..namfatilia hadi leo...He is okay and fine..Search "FINE BOY"..His last song Ni Yeye na Barnaba..
2026-03-03 19:39:48
24
sudy :
Alikataa kufanywa shoga akamua kufanya biashara za halali na yuko fit
2026-03-01 10:53:28
55
sheis.zuh :
Last week nilimuona somewhere here ferry kigamboni na yeye alikuja dukani kununua vitu vya nyumbani😂
2026-03-01 15:20:59
31
rammy products ✨️ :
sabuni 3000 tu zinatakatisha atari
2026-03-01 07:17:51
7
Iddy introvert :
ukiwa shoga ndy bas tena
2026-03-01 04:19:56
16
MAZ✨ :
alitosha kwa hii nyimbo moja
2026-03-02 10:09:30
7
𝐂𝐔𝐓𝐄 𝐀𝐆𝐆𝐘ᵇᶠᶠ𝐁𝐢𝐧ᵒᵐᵃʳ :
alikua msanii kwan😁😁😁
2026-03-02 17:12:37
2
Sandrah🦋🍒♐ :
kajaaa tele
2026-03-02 12:52:12
5
Miss grateful8♍ :
Yupo anakampuni ya usafirishaji mizigo kutoka nje kuja Tz. Kwanza mzuri kuliko alivyo kuwa msanii.
2026-03-02 14:28:56
12
linah trizsh :
anafuga kuku
2026-03-01 15:04:47
2
Robby Tz :
tumuulize omydimpoz
2026-03-01 14:44:32
5
Obio fofana :
dah mpemba kua ngoma alibutua na mr blue ilikuw moto🔥
2026-03-01 13:53:23
5
Glorie-emmancetz 👄 :
Watu umu ndani ni waongo sana mwenzenu ni CEO huko nyie mnamsema vby tu 😂😂😂
2026-03-01 14:56:45
5
ishazy🥰🥰🥰 :
kazur kenyewe kama sisimiz
2026-03-01 15:34:37
2
Favored_bakery :
Cookies za nazi na maziwa zipoo😋
2026-03-02 08:03:52
0
G.e.e.e.🍭🎀 :
Ushoga na kuimba unataka anyee😏😅
2026-03-01 18:11:19
2
Adam77@ :
acha mziki mzuri uishi 🔥🔥🔥🔥 bonge Moja ya ngoma hii
2026-03-05 09:03:59
4
Chelly ᥫ᭡🤍 :
Ana restaurant yake
2026-03-02 09:30:22
1
CRAVO 🍁 :
Amekuwa mfanya biashara
2026-03-01 15:21:54
4
Benscovianialsm :
tangu aachane na Ruby na akapoteza
2026-03-03 08:10:57
1
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.