@hskpharmacy: Dharau sitaki kazini kwangu🚮#creatorsearchinsights #pharmacylife #pharmacytechnician #pharmacytiktok #pharmacy #justforfun

hsk pharmacy&cosmetics
hsk pharmacy&cosmetics
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 February 2026 15:29:14 GMT
492170
14016
437
369

Music

Download

Comments

paxpalian07
Paxpalian_07 ❤️🦋 :
matumiz yake vip na kipo kimoja? mwambie anywe tatu mara tatu kila baada ya masaa nane 🙄😂💔
2026-03-01 05:54:07
144
antzmhmed
Antz Mhmed :
hiyo pitu ndio dawa gani
2026-03-01 12:28:27
43
anny85185
Anny💕💌 :
kwamba mgonjwa ni mzoefu wa P2 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-03-01 13:41:18
41
pkundaakunda
pkundaakunda :
mwambie anunue mbili ameze zote ili ziwe vidonge viwl😂😂😂
2026-03-01 07:01:24
86
officiallmarota7
clara@❤️💌 :
uku tunauza 2500 bado wabalia bei kubwa🤭
2026-03-01 05:35:20
32
charles.ngwetiama
Charles Ngwetiama :
5000 duuu watu mnapiga pesa
2026-03-02 13:55:03
14
queendramatic62
queendramatic :
jaman tuache utan pituu inatibu nin? wengine tunazisikia2 n kaz hatujui?🤷
2026-03-02 10:07:34
5
jujukidoti54
Judith :
mi nasemaga hatuuzi akianza kusem nimpigie daktar wngu😁😁😁
2026-02-28 15:35:16
32
kambimariamgmail
[email protected] :
Tabia siipend hii eti mm Nina doctor wangu inaboa sanaa
2026-03-01 11:25:17
49
kagomborauzazisolutions
KAGOMBORA UZAZI SOLUTIONS :
Kwanini izo p2 aujaenda kuchukua kwa daktari wako
2026-03-01 20:51:40
16
chikwato1
kalamla jr :
Tabia ya watu wa KAGERA huwezi mpatia dawa kama hajampigia daktari wake wa mhimbili au bugando😂😂
2026-03-01 20:20:16
8
mwakyogerophd
Mwakyogero phdy :
😂😂😂😂😂😂safi kbsaa jbu n zuri mnoo amuulize doctor tena ungemalizia shenzi kabsaaa
2026-02-28 21:46:26
17
mgarula2
dicloday😅🌺 :
Bora umemjibu vzuri amuulize na matumiz 😅
2026-03-02 13:09:51
6
dadatee55
Dada Tee :
Ila Warda😅😅😅
2026-02-28 15:38:45
7
michaelmadirisha02
Dr michael. :
Mimi kabla sijampa namuuliza unaangalia nini? akisema anachotaka kuangalia namwambia kama kipo au hakuna kama hiyo mimi ningemuuliza unataka ipi? na kama akiqmbiwa na anaemwamini hivyo namwmabia sina na bei inaapanda
2026-02-28 17:22:34
6
leopoldmujaki
Leopold Mujaki 🇹🇿 :
nawachukia sana watu wanaodharau kazi za watu.
2026-05-27 11:21:13
3
trace.baby8
trace🥰 :
🤣🤣🤣🤣 yaan wahvo wako wengi anakwambia kabisa mmh ngoja uongee naye kwanza au anaondoka mpk awasiliane naye af jion linakuja tena 😞
2026-02-28 18:16:03
5
fravychosen
Fravychosen :
mpaka keshajua kuna P2 viwili bado hajui matumizi ntachamba mtu hapohapo 😂😂😂😂
2026-02-28 15:41:21
11
candywilliam923
Ms Candy :
Sio kwa hii Jeuri+ kiburi cha kijaluo wallahi namtimua 😅
2026-03-02 05:47:03
4
happykadunda
Happy kadunda :
Safi sana
2026-03-31 22:06:19
0
flower88775
Flower🌹 :
cjui kwnn Huwa wanatudharau
2026-03-18 14:53:33
3
sweetpolina26
polina :
kama Azuma zinavyotusumbua jomon uwi unamuelekeza mtu haelewi hata
2026-03-02 11:30:37
4
sweetpolina26
polina :
Dr wamizangamuo lazima amulizw kwaza
2026-03-02 11:32:22
2
_mjwearsknots
MJ Wears&Knots🧶 :
mwambie anywe week moja baada ya kuzini😂😂
2026-03-01 07:12:23
4
pray_melodys
Pray_melody's :
Content safi bro nitakufollow kesho saa hiz nashiriki tendo la ndoa.
2026-04-26 10:36:42
1
To see more videos from user @hskpharmacy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About