@veriafya: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi alizungumza haya kupitia Upendo Media. Ushauri huu unaweza kufaa kwa Watu wanaohangaika kufanya 'Diet' bila kuelewa njia sahihi na Muongozo wa kufuata. Msikikize akifafanua kwa undani zaidi
Veriafya
Region: TZ
Sunday 01 March 2026 09:50:41 GMT
Music
Download
Comments
omega :
shida Pepsi jamani pepsiiiii
2026-03-02 09:16:47
170
MAGGIE 🦋🖤 :
Yupo sahihi mm ninafanya hivyo mwez wa 3 huuu nimetoka 90kg sasa ivi Nina 78 nimepungua sana 🤭🤭
2026-03-01 19:49:01
156
winnie💅 :
shida chips
2026-03-02 11:02:30
24
REDHOUSE_COLLECTION :
nimejarib nimetetemeka kuanzia saa mbili tu😂😂
2026-03-03 08:53:49
27
:
Hii inategemeana na kazi unavyofanya
2026-03-01 20:44:46
32
Nzai Christelina :
Mimi nakunywa chai saa nne asubuhi. Kisha mlo Wa usiku saa mbili usiku. Niko Sawa?
2026-03-01 20:59:50
24
✨🦋Bella🦋✨ :
absolutely true, cause na mimi nimetoka 72kg to 54kg
2026-03-02 19:02:18
5
Yuster :
Hapo kwenye mwili kuchukua mafuta kwenye hips sijapapenda.
2026-03-03 07:41:46
20
Mwasiti Ngoi :
Unajisomea zako comment Kimya Kimya mwenyewe mashallah 😂😂 nakupenda sana
2026-03-07 12:40:18
25
FAIZUN COLLECTION :
mashaallah shukran baada ramadhan inshaallah nitafanya
2026-03-01 20:30:34
10
Ruthie montez :
from 87 -67 from January mpaka Leo.. asubuhi ni green tea mchana I eat lunch jioni naonja onja tu🥰❤️❤️
2026-03-02 09:05:00
11
user1120425943157 :
Sasa hapo utakua unakula chakula cha kawaida tu yaan ugali au wali au chochote au tena unatakiwa kula karot 1 na tu apple
2026-03-02 08:32:27
5
salu memes :
Nina ushuhuda nilikuwa na kg63 now 56
2026-03-02 08:52:35
11
. :
Mm nakula saa tisa jion na saa nne usik
2026-03-03 04:49:46
5
Dafroza Mkongwe :
Kwa Sasa nimeanza kukuelewa Doctor endelea kutunusuru na pressure na kisukari
2026-03-02 10:00:39
14
Hilda Outfit 👠👟🥿👙👜 :
upo sahihi mi nimepungua nilikuwa na 88kg saizi Nina 64
2026-03-02 18:13:05
7
Oliver Wanjara :
yaani ni kweli kabisa nilianza kufuata maelekezo haya nilikuwa na kg120 sasa hivi nina 100kg,ubarikiwe sana kwa ushahuri mzuri
2026-03-02 04:19:21
20
Duler :
Mimi siku tatu Tu zakufunga kitambi kilipotea💯💯
2026-03-01 20:05:04
6
Innopaints :
tatizo nikaz tunazo fanya doctor
2026-03-01 11:41:48
22
Muzungu :
muendelezo jmn🥺
2026-03-01 11:32:08
5
saumumunisi0 :
hii video ni nzuri lakini fupi dr kwanini?
2026-05-15 04:26:38
0
shaki :
mm mbna hayo ndio maisha yngu lkn sipunguii?? au shida ni kupenda chips kuku na pepsi baridi?
2026-04-13 05:50:30
0
Isaya Önê Lovê Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
ule usiele utakufa tu sema Amina 😁
2026-03-05 14:27:36
0
Bin Kasir :
limtangazaj halielewi
2026-03-05 19:19:40
2
Ommier Mikidady :
vidonda vya tumbo je🤔🤔
2026-03-03 12:36:44
2
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.