@ibraah_food_suplement: Mfumo wa chakula ni msingi wa afya ya mwili wako. Kuanzia mdomoni hadi kwenye utumbo, chakula hubadilishwa kuwa virutubisho vinavyojenga mwili, kuupa nguvu na kuimarisha kinga. Ukipata changamoto kama gesi, kuvimbiwa, vidonda vya tumbo au Acid Reflux, mwili wako haupati faida kamili ya chakula. Linda mfumo wako wa mmeng’enyo kwa kula lishe bora, kunywa maji ya kutosha na kufanya mazoezi mara kwa mara. Afya njema huanzia tumboni! 💚 #ibraah_food_suplement #MfumoWaChakula #AfyaYaTumbo #MmengenyowaChakula #tanzania🇹🇿