Sina mama 😭 moyo unauma😭 hata mama angu mdodo alikataa nisimuite mama 😭akasema mm ni ni mkubwa hawezi kunizaa mama alivyofariki nikawa chokoraa Kuna siku nilibakwa nikiwa na miaka 12 nikawaeleza wamama wa mtaani wakaniambia mbona unatembea we hujaumia eeh mungu je angekuwepo mama yangu siangenisaidia niliumwa mno hawakunijali Nina vidonda moyoni havijawahi kupona 😭
2026-07-29 12:02:16
2
Tifah :
Amiini
2026-06-21 21:09:49
1
Zainab Hatibu :
Pole san
2026-03-10 16:35:01
1
Media :
uishi mahala pema peponi
2026-06-11 20:24:29
1
Haw Ramadhan :
🥰🥰🥰
2026-07-18 14:14:21
1
lovesmursaly :
😢🤧😭😭😭
2026-03-02 18:07:10
1
To see more videos from user @madamboss525, please go to the Tikwm
homepage.