@goodmusic2026: "CAZ-T ft MISS SARA - NAKUHITAJI official video 🔥 Classic Bongo Flava love from the 2000s that still melts hearts! 'Nakuhitaji mpenzi wangu nakuhitaji... utanipaaa' 😍 Who's been jamming this since back in the day? 🇹🇿 #Nakuhitaji #CazT #MissSara #BongoFlava #TanzaniaClassics #OldSchool #DarEsSalaam #Throwback #Fyp"
wazamani
Region: TZ
Monday 02 March 2026 09:01:03 GMT
Music
Download
Comments
Khamenei :
Kipindi UTI akuna
2026-03-03 17:17:12
45
Dkao :
Welcome form one tulicheza sana hiii nyimbo 2003....
2026-03-03 07:11:33
16
kipepe komredi :
tusali sana ndugu zangu miaka inaenda sana
2026-03-02 20:08:21
58
Binamu dread locks :
Huyo ni Kez T mwana wa komba ft miss Sarah, huo wimbo umetoka mwaka 2002 producer Marijani studio za Mj Gez mtuache kidogo
2026-03-02 19:16:14
52
Sharon Mamake Vaddy :
hii ata sijawai iiskia
2026-03-04 11:28:10
1
Avee cakes and bites :
2002 nilikuwa darasa la pili, huu wimbo ukipigwa ITV 2 basi wee🥰
2026-03-03 07:47:53
16
96Hance :
2002 nilikuwa na miaka 6 kweli miaka inaenda
2026-03-02 20:13:47
5
yes it's mema :
du tujuane wahenga
2026-03-02 19:25:41
5
Chrisphat1995 :
wanyakyusa wameanza kitambo saaan big up nyakyusaaa🤛
2026-03-03 04:07:54
9
Mope Ze Stopper :
Nipo darasa la kwanza enz izoh😳
2026-03-03 04:31:46
6
panya~bishoo :
huyu si mtangazaji sara kipingu aliekua capital radio😂
2026-03-03 08:52:13
8
mysarah 💞 :
kama hii nyimbo unaijua basi we ni kizee mwenzangu😁😁
2026-03-03 18:53:08
6
rupa_ :
Ila nchi imetoka mbali sana hii🤣
2026-03-02 22:14:13
2
s, husller :
2002 darasa la kwanza✍️
2026-05-12 20:22:19
0
mama G. :
old is good 🥰🥰
2026-03-03 08:33:59
1
Almasi Hashim :
UTANIPA?
2026-03-03 07:56:58
2
As Gas :
old but gold
2026-03-05 08:01:16
2
Almasi Hashim :
UNANITA?
2026-03-03 07:56:51
2
zulfa pumuna :
basi mm ndo nipo kwenye miaka ya. bareh nikisikia iyo sauti ya uyo mwanaume nilikua naumwajamani😂😂😂😂 ila utoto jamani🙌🙌
2026-03-06 23:56:26
2
yessa mhd :
kisanga ngwe ngungule na ngwisa....hyo lugha ya kabila gan
2026-03-05 14:01:09
3
rosemary _official14 :
😆nyakyusa nation
2026-03-03 08:26:26
1
Hadija Ramadhan :
jina la wimbo jamani na alieimba please
2026-03-02 21:33:49
2
babueddyothman :
For long time a go
2026-03-03 04:19:04
1
vee via :
Oky wahega wezangu hyu Caz T ako na park huko Tabata mkamsasupport ntamkuta he is a very good man!
2026-03-04 21:58:26
4
To see more videos from user @goodmusic2026, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.