@jacobhoja: Katika uchimbaji wa dhahabu ya mtoni, macho ya mchimbaji ndiyo chombo chake cha kwanza. Wachimbaji wengi huishia kuangalia maji, lakini mtaalamu husoma hydrodynamics ya mto. 1. Kasi ya Maji: Wapi maji yanapoteza nguvu na kuacha madini mazito? 2. Mitego ya Asili: Wapi miamba inatengeneza “rifles” za asili? 3. Mchanga Mweusi: Uwepo wa black sand kama ishara ya dhahabu. #miningexperts #tanzaniamining #goldprospecting #elimumadini #eastafricamining
apa ni korongo kaka nilienda nikakuta miamba ya quarts nyeupe mtoni ilikuwa ni mingi natamani nirudiko sana,ni milima ya sumbawanga yenye ukanda wa chunya kwa juu
2026-04-19 05:35:19
0
Bossbaby 🌺 :
nani yupo free twende chunya kesho
2026-04-01 21:50:12
0
🦋🦋🦋ukth🩵🦞 :
njoo twende mto ruvu🤣🤣
2026-04-08 08:03:42
0
𝒍𝒊𝒍𝒊𝒂𝒏_𝒑𝒛 :
ni mito yote au mito ilioko karibu na sehemu ya uchimbaji dhaabu
2026-05-03 13:59:08
0
KISIMBA Kasanga :
😂😂😂
2026-03-04 04:57:23
0
To see more videos from user @jacobhoja, please go to the Tikwm
homepage.