@mchiziikichiziii: #FrontPage Mrembo Sishkiki aliwahi kufunguka kuwa hawezi kuhudhuria kila tukio. Akizungumza na Refresh tarehe 21 April 2025, alisema baadhi ya mazingira yanaweza kumletea matatizo ya kiafya, hivyo hulazimika kuchagua sehemu za kwenda. Akaongeza kwa kujiamini kuwa kwa kiwango cha uzuri alionao, hawezi kuwepo kila mahali. #RefreshGang
Mchizii Kichizii
Region: TZ
Monday 02 March 2026 16:37:19 GMT
Music
Download
Comments
Nemy :
That’s true ukitaka kujua hilo huwezi kumkuta hamisa mobetto kila sehemu the more you level up the more you’re valuable.!!
2026-03-02 21:43:57
813
just a girl❤️💫 :
somehow anaongea ukwel msichana kua kila sehem ni kama kujidharau 😂 msinichangie naumwa😂
2026-03-02 22:18:56
631
Cute-lee100🍭 :
Huyu demu hana mambo ya mashoga sijui marafik anaishi maisha yake safi
2026-03-02 22:26:52
448
Simply-Her ♐️❤️ :
Huyu nae anaongea point anaharibu mwisho kuongela iyo pua yake kma mshumaa
2026-03-02 22:45:31
142
🎀Iam Tee🎀🌸 :
Huy angekuwa msanii sijui ingekuaje 😊
2026-03-02 21:30:10
111
✨ :
She is right. Add value to yourself 🥰
2026-03-03 07:16:12
90
naa❤️ :
binti jinga hili kwel 😂
2026-03-02 18:31:22
32
ℐ𝒷𝓉𝓎𝒿𝓊𝓁𝓁𝓎💗 :
Kuna mtanzania yyt anapuwa kam yng ghaa😂🤏🏽
2026-03-02 22:09:32
8
Slay by shuu 🛍 :
She so right,she has a high standard
2026-03-03 05:25:18
83
gloryfranks :
uyu na diva 😂🙌 wanalichosha taifa jmn
2026-03-02 21:38:04
53
♡soniaseoul♡ :
alikuwaga anaongea hivi huyu zamani???
2026-03-03 07:33:43
16
Promaker🎼 :
Nani anakakumbuka aka ka katuni
2026-03-03 10:56:12
10
NAREVA LUXE :
😂😂😂😂😂😂 Mtangazaji jamani et"you are the only one "
2026-03-03 04:37:41
19
HMulenga :
YUPO SAHIHI JAMANI AISEE WANAWAKE TUJITHAMINI .....
2026-03-03 09:45:04
11
user47813987739 :
ata sisi tutapanda tu dau taratibu😂😂😂😂
2026-03-03 08:34:18
0
MARY OUTFIT :
Mimi hapa tena og sijachonga nyau wewe kwa uzuri gani 😂😂😂
2026-03-03 07:55:24
5
VEE OUTFIT 💕 :
Anajiuza live 😂😂😂
2026-03-03 07:40:27
0
Mac :
ILA ANAYEMUHOJ NI MNAFKI SANA 🤣
2026-03-03 09:36:07
5
ygnafaka :
Ukiondoa wivu na makasiriko anaongea sahihi kabsa
2026-03-03 10:22:12
4
Happychimama :
Kumbe senge😎
2026-03-04 08:26:29
0
NACKIYAH💕 :
Kutimbaaa😂 in expensive version 😅
2026-03-02 22:34:41
4
larrybrown7808 :
na kushuka kupo time will tell
2026-03-03 19:51:28
0
Tammie_Store :
Me too baby girl 🥰
2026-03-02 21:54:42
3
crsder :
nimeingia kwenye comment section ya wajinga 🤣🤣
2026-03-03 08:54:47
1
e.movie :
eti wadau mmeanza kuringia pua
2026-03-02 22:26:55
1
To see more videos from user @mchiziikichiziii, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.