@ebm_electrical: JENGO NI UMEME🧰 EBM ELECTRICAL INSTALLATION INAKULETEA HUDUMA ZA UMEME TANZANIA 🇹🇿 NZIMA 🟢SITE VISITING….hufanyika kabla kbsa yakuanza hatua yeyote na hii ni kwaajili ya elimu ushauri na makabidhiano ya kazi ktk jengo lako 🟢CIRCUIT PLAN….uchimbiaji wa bomba na mfumo mzima wa jinsi umem utasafir ktk jengo lako 🟢WIRING INSTALLATION…..uvutaji wa waya ndani ya bomba na ni kwa umakini mkubwa 🟢SWITCH AND LIGHT DECORATION….hapa ni maswala yote ya taa na ufungaji switch kwa njia ya kisasa PIA EBM INASHUGULIKIA MASWALA YA ☑️MOTOR GATE…hii ni kwaajili ya kufungua na kufunga geti lako kwa remote na ni swala zima la umeme hutumika(MAFUNDI WABOBEZI KWA HILI WAPO) ☑️AC COPPER PIPE FITTING AND INSTALLATION…..ebm hufanya fitting za AC pia kuifanyia instillation kwa matumizi(mafundi ni special kwa AC wpo) ☑️CCTV CAMERA….ebm hufunga camera kitaalamu bila changamoto yeyote badae ☑️ELECTRICAL SECURITY FANCE…….ebm hujihusisha na maswala yote ya ufungaji wa fance ya umeme kwa umakini wa hali ya juu ☑️UFUNGAJI WA FENI NA HEATER ZA MAJI……pia huhakikisha nyumba yko imefungwa feni kwa umahiri na pia heater zako zipo installed bila kusumbua badae >>>>HAKIKA USISITE KUWASILIANA NASI KWANI HUTAJUTIA KUFANYA KAZI NASI KWANI TUPO KWA KUFANYA KAZI KWA UMAHIRI WA HALI YA JUU<<<< ☎️Piga/whatsapp/text: 0672475628
umefeli tu kwenye cooker switch ingetakiwa ikae kulia ama kushoto haitakiwi kukaa switch juu ya jiko
2026-03-04 16:15:52
3
Denson smart systems :
kazi n safi
2026-05-19 13:19:14
0
Mchopa Tz ⚡ :
Hoya EBM. sio Facebook tu, nimekufwata na TikTok 😄
2026-03-04 15:39:16
1
eng kavai :
kazi saafi mjomba
2026-05-26 17:50:11
0
faizy dachi :
kazi nzuri ..ila unaingilianisha sana sana point...baadae kwenye uvutaji inakuabshida
2026-03-03 10:23:55
1
Linah_plumbingtz :
Kumbe si Bomba za maji tu zinazotakiwa kunyooshwa adi za Umeme💪. KAZI SAFI🫡🫡
2026-03-03 13:07:49
3
kakatajiri :
Kwa hopo kwenye jiko Haswa Line ya gas na usalama ni NOO. hapo umefeli pakubwa master..
unaweka switch sehem jiko linapo kaa afu baada ya mda Switch zote Zina heat Kisha Bonge la shotiii.. NOOO Master.
2026-03-07 12:22:58
2
user38866161770 :
mbona kama hizo conduit pipe hazijachimbiwa ukutan?au hyo plaster ni inch ngapi???
2026-03-04 18:15:40
2
Israel Ilomo :
Sipingi baba.
2026-03-03 13:52:13
1
shebby :
🔥🔥😂 unajuaa baba🙌🙌
2026-03-03 10:27:25
0
misale_decor_design :
Umetisha chief
2026-03-03 09:58:02
1
Aheem10 :
unajua
2026-04-13 08:51:29
0
FUNDI UMEME SMART :
unabak kama alama kwa mafundi wengine
2026-03-03 10:52:58
0
ALEDY ELECTRICAL SERVICES :
mi na download sana hzi material
2026-03-03 07:29:15
1
i.am.gifted :
Safi
2026-03-19 14:51:14
1
SheibanyJr :
Ovena ndio nini??
2026-04-08 16:39:34
0
MON :
asie kubali mfumo ana wivu na hawezi jifunza kitu,, najifunza kitu apo,,oya uko makin sana babaa💪💪
2026-03-07 11:08:04
0
MKM.UMEME ⚡ Installation :
umeupiga mwingi kaka
2026-03-02 20:25:58
0
Irene Julius :
nakuitaji
2026-03-05 15:21:03
0
ngekeji construction (NGC) :
good 👍
2026-03-22 12:22:55
0
Obeck Simkwai :
Hahaha we jamaa una mikwala nakubali mani
2026-03-07 14:49:19
0
abidalfadhil :
hata na mimi ni fund alhamdulillah ila nakupa hongera kw kaz nzur kaka na pia tunajifunz alhamdulillah
2026-03-11 19:00:01
0
awattifrajab :
Kazi nzuri
2026-04-24 07:39:11
0
user9240288887082 :
KAZI Safi sana
2026-03-30 18:25:16
0
Peterson Chayeka :
ni rula babaaa
2026-03-03 03:54:39
0
To see more videos from user @ebm_electrical, please go to the Tikwm
homepage.