@hisham.lyrics.media: Allah Atujalie Nguvu Tuweze Kuwalea Watoto Wetu Na Tuwape Malezi Mema Na Bora: #nasheed #lyrics #foryou #kenyatanzania🇰🇪🇹🇿 #ramadankareem🌙🌙 @Yazmina🧕❤️🦋
Bismillahi Mashallah Qassida Iliyo Na Maneno Ya Hekima Na Busara Lazima Jamii Waliyo Barikiwa Na Watoto Ni Masuulia Mazito Kuwatizama Kwa Njia Ya Dini👍
2026-03-03 20:01:33
13
Said maulid :
napenda sana
2026-03-08 11:33:10
2
Mamu :
Ukitaka kuipata andika wazazi tujitahidi kulea watoto wetu