hiyo niukweli mimi nimejaribu kuioga majivu na chunvi nikafanyikiwa kabisa business yangu inaendelea poa Sana 🙏🙏
2026-03-03 18:30:12
493
queensue :
wanaomuamini mungu pekee ndio kila kitu like hapa
2026-03-17 07:04:40
586
kelvoo_Kb♏️🫂 :
tiktok unaingia mwema unatoka mganga😂😁
2026-03-06 08:34:04
158
Reymet :
Rafiki yang katumia chumvi na mate akajipaka uson anasema kaamsha mashetan ,yaan vita imeibuka balaa,
2026-03-05 10:02:06
69
Big 🌹 sister ❤️ :
na majivu na sigara unaweza tumia????
2026-03-03 18:06:33
21
shedrack :
mimi nanyolewa sana usiku nifanyaje
2026-03-03 14:36:24
29
Mama Generations :
Mimi nilitumia mate na chumvi, wueeeh acha tu😂😂😂😂
2026-03-08 08:47:46
6
Linda254 :
wenye tuko ngambo tunatoa jivu wapi jameni?
2026-03-03 16:05:14
10
teem magaidi💪 :
ile ya mate na chumvi nkiboko imenisaidia sana🤲
2026-03-03 16:47:57
201
Adhiambo Otiang :
There's power in the name of Jesus Christ 🙏🙏
2026-04-26 09:35:47
5
Xwat Jones :
Tangu nijoin TikTok nimekuwa mchawi walai🤣🤣
2026-05-29 15:15:48
9
Donatha❤️ :
mtumishi tangu nianze kukusikiliza maisha yangu yamekuwa poa
2026-03-03 12:34:48
162
Brigitte :
aksante
2026-04-19 07:05:54
5
Mndolo :
tunao muamini Allah 2juane hapa
2026-03-24 14:36:38
12
Prince Roy :
NI ukweli mtumishi... nimeijaribu na Rafiki yangu ameamka toka kitandani.
2026-06-11 10:51:08
5
Beaty :
it's true whot used to be rejection in my life has turned out to favour ,napendwa mie kazini ,hakuna nywinywinywi, my staffs loves me extraordinary mpaka najiogopa,but it's true shalom
2026-05-21 09:58:24
5
family :
so damu ya Yesu ni ya kazi gani mtumishi? Jina La Yesu ni jina kuu kuliko yote tuliyopewa tena tumeambiwa tukiomb lolote kwa hilo jina litakuwa
2026-03-03 20:35:19
101
Nori :
nauza chumvi ya mawe robo miatano
2026-03-03 08:08:06
40
Nyar Anuani :
mimi chumvi na mate imefanya nimepata mwanaume Hadi ametoa kwa nyumba ya single room to self-contained biashara pia tuko proses naaamnza next week
2026-03-05 12:17:29
79
Sarah :
Nina swali ,unaamini katika jina la Yesu Kristo?
2026-03-03 23:10:16
30
Martin _Matoo 😂 :
this stuff is powerful guys
2026-03-29 20:54:27
11
To see more videos from user @prophetrogersministry, please go to the Tikwm
homepage.