@tumaini_pr_tv: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akiongea na waandishi wa habari namna ya kumaliza foleni foleni Dar " mtu anaingia na kigari kichafu Namba A nchi za wenzetu haziruhusu mtu kuingia na gari za zamani barabarani wanahofia gari kuzima njian " #tboyliontz #tumainiprtv #hapaninyumbanikwawote

Tumaini pr Tv
Tumaini pr Tv
Open In TikTok:
Region: CA
Tuesday 03 March 2026 09:49:08 GMT
552427
16589
1890
3684

Music

Download

Comments

faudhiakaudunde
❤️🫶🎧 :
we mbona pua yako siyo mpya na chafu lakin unapumua 😂😂👋🙌
2026-03-03 16:49:13
889
kidagaapro
Kidagaa Film Production 🎬 :
Na sura yake ya kizamani 😂utauponza mwenetu
2026-03-03 17:37:58
31
mariamayubu386
Mariam Ayubu :
ukute serikali inazuia bangi,ili wavute wao
2026-03-04 18:02:55
310
mhadatz0554
Mr tryer0554 :
kaongea pointing ila kashindwaa kuwasisilisha ujumbe kama kiongoziii
2026-03-03 12:18:33
360
mbangwism
mbangwism :
jibu moja tu Na sisi tungekuwa wezi tungebadili kila toleo ya gari.
2026-03-03 16:10:38
293
dalali_byser26_kigamboni
dalali_byser_kigamboni🇹🇿 :
PUNGUZENI USHURU MUONE VYUMA TOWN 😂
2026-03-05 20:27:58
15
natalie.mushi
Nathalie Mushi :
Unatafuta maneno na wazee wetu wa kichaga Mzee shayo na shirima 😂😂
2026-03-03 17:22:19
17
folexwood
Følexwøød :
mbona V8 MNAZO TEMBELEA NI A😂😂😂😂
2026-03-03 20:50:15
23
mapreader3
map reader :
hapana hii hoja Yako mbovu mzee wingi wa magari dar es salaam sio sababu ya msongamano wa foleni nchi Ina miundombinu mibovu na teknolojia za kizamani sana na Kodi zetu mnakusanya kwahiyo nikiwa na Carina au Corolla nisiendeshe gari langu rekebisheni miundombinu ya usafirishaji mbona mnavipara halafu hamna mawazo chanya
2026-03-03 18:39:46
33
paulomartini6005
manyaraboy :
kwa sura yako ngumu hutakiwi hata kuonekana barabara kuu sura ya zamani sana hiyo zaidi ya namba A 😂😂😂
2026-03-04 07:43:14
20
user1381361567761
12345678 :
Acha dharau kuma wewe
2026-03-06 11:26:24
5
chief32156
Chief :
dah vyeo jamn
2026-05-26 07:15:02
0
mtendamem
brown angel :
ilitaka tuingie kati kati ya mkundu
2026-03-04 09:12:19
5
kidoti.3
M"E"R"R"Y🎄☘️kidoty💝👱‍♀️ :
mbn ww kuna vitoto vya 2000 lakin ww kizee kichafu unazagaa zagaa🤣🤣
2026-03-04 05:06:01
8
peter.kyariga
Jr Peter :
Huyu Ana akiri kweli huyu sio poa 😏😏
2026-03-03 16:52:11
5
jacklinesamira228
JACKY SPOOK❤️‍🔥 :
ana ongea ukweliii lakn kwa laugha mbaya shenziii kabisa😳😂
2026-03-04 06:42:12
2
kelvincelvinmoxhy1
kelvincelvinmoxhy :
mbona namba E ndo nyingi zinafia barabarani
2026-03-03 19:07:04
4
new.kida
New Kida :
siku znapozid kwend n wa2 wanazid kuchanganyikiw
2026-03-03 21:32:55
4
user6779949752031
life_in Tz :
Nazile LC 300 namba A zitolewe
2026-03-04 06:16:11
3
justinianjohn152
Justinian John :
na hizo namba A wzipeleke wapi?
2026-03-03 17:28:27
2
aggy.girl
ItsAggy🦋❤ :
unaubongo mchafu kuliko mavi😏😏😏
2026-03-04 08:01:12
2
shabanimusa765
King MAFIOSO :
Ela zetu zinawapa kiburi🤔
2026-03-04 10:49:14
2
agripina445
agripina445 :
Ambao hata hatuelewi E Wala A tujuane ila muhehe anadharau huyu😂
2026-03-03 17:53:21
2
bonifacearon99
Digalla construction 🪏 :
Hii kauli inauma kwa kuwa bongo wengi wetu ni masikini,lakini ukweli Yuko sahihi.shida hajatofautisha Hali ya nchito yetu kiuchumi na nchi za wenzetu ambazo hata Hela Yao Ina thamani(🧱fundi wa mbeya)
2026-03-04 06:19:58
2
To see more videos from user @tumaini_pr_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About