kama umeamua kuzaaa please zaa kwa faida Yako mwenyewe Hawa viumbe ni hatari sana ๐ณspeaking through experience single Maza mwenye mtoto anaelekea mwaka wiki ijayo it's not easy and I am not healed please
2026-03-04 13:03:41
245
โค๏ธ :
Nasoma nikiwa kwenye mstar wa clinic ๐ญ๐ซด๐คฃ
2026-03-05 08:34:25
152
SHOP WITH NINOH :
Mm nimeachwa kisa tu nimekataa kumzalia jmn ๐ฅน
2026-03-05 09:34:32
31
dee๐ฆ :
tatzo co kupata mimba tatzo ni kuacha imalize week
2026-03-05 05:09:17
65
tusijuane :
Ivi kumbe kuna mwanamke mpaka saiv anazaa mtoto kwaajili ya mwamaume
2026-03-05 03:56:22
40
jacky Divine luxury :
ningepata nafasi kurudi nyuma mimi ๐ฅฒ๐we imagine nina watoto 4 miaka 29 niko singlee
2026-03-04 16:42:49
42
subibaby :
ukweli tena nimemdangany nina mimba akaitikia sawa tutalea nina wiki ya pili sasa sijaona hata sms yake ๐คฃ aya ingekua ninayo kweli si ingekua balaa
2026-03-04 18:52:08
46
Mama fayaz :
mnatupa ushaur mimba miez 8๐๐
2026-03-05 15:20:23
7
Nah.nyagani๐งฟ๐งฟ :
Mimi nilizaa 2 kwa faida yangu napamabana mwenyewe na mwanangu kikubwa nishapata ndugu yangu
2026-03-04 21:11:27
29
witt๐ญ jee๐ :
Mmechelewa tiari inamiezi minne๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ
2026-03-04 18:28:56
14
lashed by dodo :
Pia ukiapata unaweza kutoa โฆ.. for your ownsake
2026-03-05 11:37:27
13
Mwajuma Omary :
xxa tumepewa makadiriao ya kujifungua ndo mnasema๐๐๐๐
2026-03-05 18:36:06
4
Magreth Lustick :
mm wangu tunagombana kila siku anataka nizae mtoto...mm naogopa kuzaa jmn kisijekuniramba๐๐๐