@mirrsviva: Ba. Mjengo kachumbia🥹🥹 Part2 Mwishoooo.

Simulizi za#mcviva
Simulizi za#mcviva
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 March 2026 11:21:38 GMT
230867
10025
395
392

Music

Download

Comments

officialmageme
Dearme🥰❤️ :
nyie haya mambo ninavyoyafatilia kama nimeolewa....😂😂
2026-03-04 12:06:04
195
cindylou280
Cindy lou :
Nani anatoa lori la kugonga mashemeji😂😂😂😂😂
2026-03-04 16:15:04
128
lilianmwangolo5
Umazi 002 :
ila mashemegi watakufa vibaya sana😂😂
2026-03-04 12:50:24
72
cammysully3
FINE~FACE🥰🌸 :
Kusahau ningumu jamani yani unaweza ukawa unapika ukakumbuka situeshenii unaachiaa sonyoo ndefu unaendelea najiko😩😂
2026-03-04 12:34:13
71
maishahalisiyamwanamke1
Maisha halisi ya mwanamke :
jamani mwanamke ukiona upo mbali na mume wako fanya mbio mfwate
2026-03-04 12:02:04
38
faishskin
xalt :
Nakupenda sana .... ❤️
2026-03-04 12:46:47
6
mamalishelikuyuse
Mamalishe Likuyuseka :
mwanamke hasamehi ht siku moja
2026-03-05 05:33:03
19
tripom3
tripom3 :
Mimi sijui ndo Sina akili? ningewaacha tu ila ningewachuna hela mimi hadi wafirisike yaani wangejuta😂😂😂😂
2026-03-04 18:52:21
28
lucy.daud4
Lucy Daud :
Sijuw nimebonyeza wapi nikakutana na party 2 halleluya🙏😂😂😂
2026-03-04 16:19:02
47
tausyramadhani
TEE@SPA :
😂😁eti 3 sweters one husband.
2026-03-05 06:36:24
5
elune_g9
Elüñé🌹🌹 :
nilikuwa nasubiri kwa hamu🥰🥰🥰
2026-03-04 11:54:13
12
azizachauya
Azizah ❤️❤️ :
Sio wanashawishika ni wanarogwa kupita maelezo.
2026-03-04 12:12:37
8
gracykisanga
Gracy Kisanga :
ila hela mwanaharamu mm nngempenda yy na mchumba ake
2026-03-04 18:38:08
13
double_eniy
Neyy💕 :
Mashemeji wanafki nyieee
2026-03-04 12:28:16
24
elina.sanga56
Mamy Brightness $Billiat :
wangu kasema anaenda msibani
2026-03-04 14:47:03
6
shadmaya.jaffar
Shadmaya Jaffar :
Tunasamehe lkn hatusahau🤣ukikumbuka ata usiku wa manane mtie bao la uso jifanye unaota alaaah🤣🤣🤣
2026-03-04 19:13:55
35
ckuzyvio
Ckuzy❤️🇹🇿🇷🇼 :
Ahhahaha😂😂😂 mm ningetulia kimiaa kama anachunwa naletewa mm ninani nipinge
2026-03-05 11:57:31
7
cerry_amor
Kimberly :
Kila nikikumbuka nipo marangu bamjengo yuko ddoma nafurukuta na hii story akyanani 🤣 haya mambo atali
2026-03-05 09:20:38
6
tina_2g
farmer gal :
love you back❤️
2026-03-04 12:42:31
6
hiyawa.de16
hiyawa de16 :
we dada uliyechumbiwa nqkupongeza kwa ujasir wa kumzalilisha huyo bwana
2026-03-04 14:49:17
8
avaty100
Avaty_027 :
Wa kwanza
2026-03-04 11:24:11
7
suby873
subira :
saivi mashemeji ni wakuogopa kuliko mawifi na mama mkwe
2026-03-04 13:05:54
8
destinamwakasege
lastbon wa mama :
mi watatu
2026-03-04 11:27:09
5
cutev24
vero lyimo :
😂😂 Mbona anawahi ndani kuliko kuku
2026-03-04 12:22:44
5
reshmah22
Reshmah :
Mbona three sweaters one husband 🤣🤣🤣🤣
2026-03-04 12:19:04
8
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About