@veriafya: Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi kupitia Busati la Mtoro, anashauri watu wenye Presha, hasa ile isiyodhibitiwa watumie Choo cha Kukaa kuliko choo cha Kuchuchumaa ili kujikinga na Kiharusi (Stroke) wakiwa wanajisaidia. Video: Dua TV Online