Saudi Arabia Iko na msimamo mkali zaidi wa kiislam but hailegwi...
Hila inasemekana Iran dio wafadhili wakubwa wa makundi ya kigaidi...
2026-03-05 15:13:35
37
prince billion :
Leo umeweka unafki pemben; umeongea ukweli😅
2026-03-05 05:40:47
88
Gloranthy💦💟🩸 :
mbona tar 29 ham kuongea chochote mlijificha wap??
2026-03-05 11:50:44
44
Monutugo :
Lazima IPIGWE Kwa kuwa wao serikali ya kigaidi inayofadhili magaidi yote duniani. Na ndiye inayojipanga kuifuta Israel
2026-03-05 04:49:48
28
Prophet Maluku :
Hapo nakubaliana na wewe%
2026-03-05 05:14:37
11
Alexander :
single and searching
2026-03-05 19:48:06
0
a47timo :
Ujui unacho kiongea
2026-03-06 08:47:00
0
Angel 😇 :
mmeze tu hata kama ni chungu jamn😂😂😂
2026-03-05 17:53:16
7
Japhet Baraka :
fom 1979 iran with American Nothing is going cause of the petrol and not cause of Iran are Islamic when Iran was heading with king and that king was giving all the petrol the American every thing was going well
2026-03-05 19:03:16
2
HOSSA JOHN :
nyie mnajuaje ya iran na mko tanzania
2026-03-05 20:33:59
1
Jacobke :
basi ulikuepo😆😆
2026-03-05 20:49:54
0
merinyang :
wacha ujuaji, hujui kile kinaendelea,,,wacha uchochezi za dini
2026-03-05 08:14:27
1
FASHION KILLA :
ata Azam ipo chini ya wayahudi kama hamujui
2026-03-05 09:21:00
1
ST.DESMOND :
usilamu upotee
2026-03-07 15:15:39
0
-Titi- le petit voisin :
acha ushabiki waafrika tuko kama vikoropo
2026-03-05 09:29:00
1
dicksonnoel :
hujui kitu chchte mzee
2026-03-05 13:18:30
0
YOUNG~GEE🌴🧚♂️⚽️🎮 :
Huyu Shehe Akiri Hana vizur
2026-03-05 13:46:51
0
ayubuabedi965 :
amina basi kwa pamoja tuombe amani ya Jerusalem ili Mungu atubariki
2026-03-05 20:07:51
0
Sakina Masindi :
wewe una elimu ya majini dili na majini
2026-03-04 23:22:38
31
KIJIKO JR. :
mpinga christo anashughulikiwa kisawa sawa
2026-03-05 15:00:13
19
Anania Simoni :
hapo umeongea kweli hawa walipewa na Mungu mwenyewe na hilo halipingiki
2026-03-05 05:38:48
15
moh official :
mungu asaidie iyo video isionekane marekan
2026-03-05 10:15:36
6
Benson Boniface :
respect shehee sana kwa kufundisha vyema
2026-03-05 05:27:01
6
jamawego@26, :
huyu mzee yeye anajuwa kila kitu?
2026-03-05 18:25:08
3
Diana :
Hawa wachambuzi wangekuwepo Oktoba 29, 2025 tungejua mengi yaliyotokea!
2026-03-05 15:48:43
3
mrs hussein org :
mkweli mtupu
2026-03-05 06:23:40
3
Charl✝️ :
sule ni muislam na anasema kweli utakuta akina abdala wenye akili maji wanapinga
2026-03-05 08:33:28
3
maney maker :
ndo ukweli baba
2026-03-06 06:46:36
3
moyowangumjinga :
ukweli mtupu
2026-03-05 04:38:01
3
YONA MWALONGO :
katika siku nmekuelewa ni leo KUHUSU taifa la Mungu picha ya uasi wao
2026-03-05 09:51:40
2
Laubora :
Mdogomdogo mtasema ukiristo ni dini ya kweli ya MUNGU
2026-03-07 20:41:23
2
agha__ 🅱 🅾 🅱 gallons :
huyu jamaa anaongea kitu asicho kijua
2026-03-06 05:52:02
2
Jay Washington :
trust sule at your own risk kesho atawaambia vitu vengine tofauti na venye anasema sai.
2026-03-05 11:24:50
2
harrisonmwasela :
waambie mjomba labda wataelewa
2026-03-05 07:51:29
2
iddalihussein :
mashallah darsa smart sana
2026-03-06 05:44:02
2
Mbuli Junior :
Ya watu mnavyoyajua sasa!
2026-03-05 21:58:29
2
United forever :
mm nasoma comment tu wenzangu mko wapi???
2026-03-07 23:16:09
2
don hassan :
Pia ndio Watu wenye akili zaidi duniani
2026-03-05 21:40:39
2
BUMBA 💪 :
Isaya62:1
2026-03-05 11:59:33
2
devidi :
2lio muelewa tujuane
2026-03-08 20:52:13
2
David Michael :
Leo umeongea cha maana sana
2026-03-10 03:44:27
2
Eliudi Kashekya Richard :
ukwer rire ni taifa teure na Aritashidwa kamwe,
2026-03-05 13:34:10
2
𝑺𝒂𝒎 𝒃𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒐𝒏 🍇 :
Mzee ka zungumzia mu sayuni au muyahudi au ni mimi ndiye na jichanganya
2026-03-05 15:21:12
2
Cold jack :
Shekhe kasema ukweli wayahudi na ushetani wao ni taifa teule
2026-03-06 15:30:58
1
iddalihussein :
Naomba unitumie darsa nyingi zako mashallah
2026-03-06 05:44:29
1
user5177722427716 :
kwa mara ya kwanza NAKUBALIANA na TATHMINI yako.
2026-03-05 14:30:36
1
kjk mtt w masharubu :
ww mnafiki shehe ubwabwa
2026-03-06 04:42:19
1
KIPAKA :
Apo aja ongea kama Mkristo au kama Muslam, kwaiyo ukiweka Udini auwezi kumuelewa.
2026-03-06 15:26:47
1
DR. HUMBLE :
Saudi Arabia nao wanapigwa kwanini?
na quatar Kuwait,hao si waislamu?
2026-03-06 04:00:16
1
ENC :
siyo dini mbona Ili ripusha inshi nyingi za wa islam
2026-03-06 02:39:45
1
Nurudin Msigwa :
acha maneno ya mbumbumbu wako
2026-03-06 10:24:41
1
Valerian Kilmer AE :
hujui loloteeee sio issue ya diniii
2026-03-05 09:30:19
1
MONTANA OG :
msikilizen vizur msiweke udini mtamuelew
2026-03-06 06:42:19
1
leyonel :
ata apingwe,the ancient covenant reigns,msimlaumu huyu,mlaumu Abraham na mungu wake
2026-03-05 09:45:36
1
Patrick Soty :
hujui chochote wewe😂😂😂
2026-03-06 14:20:26
1
To see more videos from user @islaahtv_dr.sulleog, please go to the Tikwm
homepage.