@kingsfmradio: Kings FM tumefika mpaka Seminari ya Mt. Joseph Kilocha iliyopo kata ya Ihanga - Njombe kuzungumza na Godfrey Ngole ambaye amevutia maelfu ya Watu mtandaoni kupitia Video ya Maomba. Tumepokelewa na Mkuu wa Shule hiyo Padre Oresmo Lugome ambaye naye ametueleza namna alivyompokea Ngole tangu Kidato cha Kwanza mpaka sasa ambapo yupo Kidato cha Tano. #jisikiemfalme #kingsfmradio #tabasamu

Kingsfmradio
Kingsfmradio
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 March 2026 18:29:29 GMT
427182
27995
979
1051

Music

Download

Comments

johnsoko69
Johny :
Form 5 tena m nikajua n darasa la 7
2026-03-05 01:24:56
323
ellybton
ellyBton :
Baada ya wazazi wangu wote wawili kufariki😭😭😭hii kauli😔😔🙌🏽🙌🏽
2026-03-05 02:07:35
286
kase_mart
martha :
Naomba niwe mama yake
2026-03-05 04:39:07
96
user6302837378575
Mama Vivian :
Mungu baba wa mbinguni,naomba umbariki mtoto huyu atimize ndoto zake🙏🙏
2026-03-05 04:16:42
273
priceikambajr1
Mc Lameck Simbo :
loh! kumbe mkubwa mwenzetu🥺🥺🥺🥺
2026-03-05 02:59:59
88
ezzey255
Ezzey :
kitima ajaye🙏
2026-03-04 21:07:42
80
mama.g6871
Mama G :
Daaaah😭😭😭kufiwa na wazazi tena. Hii imeniuma sana
2026-03-05 04:18:54
125
tibendatedy
Madam Tedy :
Oooh kumbe ni kijana huyu form six 😳😳😳 waoooooo
2026-03-05 00:55:04
27
trizzamumbi3
TM :
kidato cha tano huko Tanzania Ni grade seven ya huku Kenya sindio
2026-03-05 04:10:06
35
days5552
Days :
nani mwingine anakata vitunguu kama mimi
2026-03-05 12:14:42
13
agnessamin8
ms shaidi. :
alipata ufaulu division ngap
2026-03-05 06:12:50
16
babaeddie1
Big nation :
tunaendelea kuzalisha wakina Kitima buana🤣🤣🤣🤣🤣
2026-03-05 04:00:40
36
annawilliams4549
Dr.Williams :
mniamini, huyu mtoto atakuja kuwa askafu wa Jimbo fulani duniani. I prophecy
2026-03-05 20:14:35
25
pascal.omar3
Pascal Omar :
Mungu linda mtoto uyu yatima kwa mikono miwili
2026-03-05 05:30:13
73
babby1982_
Agness :
ni yatima mungu amshike jamani
2026-03-05 02:35:12
50
why._fabbie
Why.fabbie :
The confidence is real🔥🙏
2026-03-05 04:36:10
15
plannercharles
C.E.O Charles Wothaya :
For those who have catholic background we all know this is real talent......
2026-03-05 13:45:25
10
dammyqaal
dammyqaal :
Daaa wazazi wote 😭😭 Mungu aendelee Kukubariki Brother 🙏
2026-03-05 05:27:16
24
madam4656
Madam :
Hapo kwenye wazazi dah!
2026-03-05 02:00:58
29
allyhamad96
ally :
kumbe yatima mwezangu kaza mdogo wangu utimize ndoto zako
2026-03-05 05:14:58
37
ombeni.mbuya
Mbuya🇹🇿 :
amesema anaitwa kitima ama nineskia vbaya
2026-03-05 04:13:32
6
pinyado.alois
Pinyado Alois :
Hapo ni wapi? Kama Mtangazaji unafikiri introduction yako ni complete?
2026-03-05 04:35:26
13
miss.alicia36
Miss Alicia 💞 :
Mungu akutangulie ktk safari ya utume🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-03-04 19:11:19
22
scouserjr
edboy :
hata mimi nilikuwa hivyo hivyo
2026-03-05 05:49:10
10
kalist.kadafa
Kalist Kadafa :
Kwa mwonekano utadhani mtoto
2026-03-05 03:51:19
17
To see more videos from user @kingsfmradio, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About