@1oldschool4: Moja kati ya watu waliomtengeneza Ngwear akawa mkali ni Noorah, huyu jamaa alosifika kwa freestyle na bongo kipindi icho kulikua hakuna rapper yeyote wa kumfunika Noorah mpaka akapewa jina la Baba style, alikua anachana kila aina ya style na hii Ngoma Yake ndo ilikua Video kali tangu Bongo Fleva izaliwe #followers #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tiktoktanzania #tiktokburundi🇧🇮 #Tiktokkennya