@faraja.seminary: #bestschool #trendingsound #trendinggospelsongs #fyp

Faraja Seminary
Faraja Seminary
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 March 2026 04:33:36 GMT
1778948
159191
3209
5306

Music

Download

Comments

winnerkinabo
❤️ It's winner ❤️ 🦋 :
kama wewe sio casfeta huwez elewa
2026-03-05 12:06:44
1548
riah1237
Riah♐👑 :
Nilikuwa hivii jmn duniaa hiii 😩😩
2026-03-05 13:13:09
790
.innosly2
🙂 :
Kama umehisi machozi gonga like ❤️
2026-03-06 17:58:17
760
edson.emanuel45
Edson Emanuel :
Eee mungu naomba mteendee kila moja anaesoma massage yangu
2026-03-05 16:21:10
612
sabato.emmanuel5
sabato emmanuel :
wajinga nyie mnaomba had mnaria
2026-03-07 12:48:57
10
mmasyfrida
Fridah🥰 :
Yan sis wasabato hatunaga kusali ya hivi lakini sasa Ivi nikisali kuna muda hadi najikuta nanena Kwa lugha
2026-03-05 15:42:16
146
mwanaid.jattah
vic💯% :
CASFETA tayomi oyee🥰🥰
2026-03-05 12:07:31
144
lucycharlesity
🤍🤍Lucycharles🤍🤍 :
Duuh...nimekumbuka mbali 😳😅
2026-03-05 14:10:31
17
user6206132669143
ticha :
mungu awasaidie wadogo zetu wanachokiomba kifanikiwe
2026-03-05 17:33:48
148
lisarichard293
lisarichard293 :
wale wa 20/ 20
2026-03-05 13:35:11
6
jalomy
jalomy 💜🥀🌺 :
mnanikumbusha mbali sana 🥰 Mungu awasaidie
2026-04-13 15:51:34
9
user1672671619545
imma_boy 05 :
.mungu awajalie haja ya mioyo yenu amen,
2026-04-15 20:19:06
8
remmy.emmanuel
Remmy Emmanuel :
ehee MUNGU wakumbuke wanangu kwenye masomo yao ukawe mwalimu wao🙏🙏
2026-04-18 03:40:45
7
cut.frida1
cut frida :
aamina amina kubwa🙏🙏
2026-04-22 11:49:26
6
asajile_musa
Asajile Mussa :
nilikuaga hv zaman, mungu nisaidie nirudi tena
2026-03-06 07:56:35
9
chams9777
🌟 🌟 chams Ben :
Mungu Mkuu wa mbinguni,wabariki watoto wetu popote walipo, pia Mungu wetu bariki waalimu wao,na wazazi wote,Amina
2026-03-10 04:35:10
6
cuteaggie30
A.m.Aggie :
nisingekuja chuo wenda bado ningekuwa hivi🤣🤣🤣🤣
2026-03-06 01:19:46
6
sarahwinstone0
Sarah Winstone :
hii shule itafika mbali sana in Jesus name🙏
2026-04-12 08:06:18
6
martinakyoo3
[email protected] :
Bwana Yesu azidi kukitendea kizazi chetu moyo wa ibada namna hii na kuzidi.
2026-03-05 18:59:09
26
manka1617
June 1st :
nilikuwa hvii lakini dunia haina huruma na watu kama sisi🥺🥺🥺🥺🥺
2026-03-15 09:03:31
9
dicksonmpalu
dicksound✅ :
mungu mbariki kila anaeona video hii🙏
2026-03-10 08:15:29
5
estermadati670
kulwa 🫣 :
hivi unawezaje kuomba mpaka unalia
2026-03-05 19:03:30
47
vv_vvvvv
_Vee🎈🎈 :
chakula cha shule kilivyo kibaya na ukikumbuka cha nyumbani lazima ulie
2026-03-06 08:35:02
126
mmary.jr1
mmary jr :
casfeta change the life of the youth🙏🙏🙏🙏
2026-04-12 08:31:35
5
nancymvamba1
nancymvamba405 :
inua tena kiu ya maombi ndani yangu Roho Mtakatifu mbona nilikuwa hivi jaman
2026-03-07 16:18:29
9
To see more videos from user @faraja.seminary, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About